Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Wivu tu wivu ni wivu tu ndio inaokusumbua
Wivu gani bwana. Unajua hata 40 ft container ya vitenge kodi sh ngapi. Cif. Fob. Au unajua transhipment. Aisee kifupi tunahitaji investor. Lakini sio kwa kile kile ni zaidi ya uwekezaji kuna cha ziada
 
Najua angekuwa ni Mzungu yule

Kuusu serikali itapata nn ni mpaka wasaini HGA kwa sasa wanaweka tu msingi wa ushirikiano
Hao jamaa sio wastaarabu hivyo. Eti unipe uwanja mkubwa halafu uje unibane. Au kwani hivyo vipengele vikiondoka hatakuja au hakuna investor atakaekuja?. Kwanini tusivitoe ili tuwe huru? Kuna nini?. Kwa nini ujilipue hivyo huku ukijua nchi yako inaviziwa miaka yote ichukuliwe?. Kifupi kama mimi ningekuwa DP sitakubali tofauti na contract na nitawanyoosha mpaka mkimbilie milimani na muwe kima
 
Huu ni udumavu wa akili wa mtu mweusi , hivi nchi tatu zinashindwa vipi kujichanga na kupata dollar bilioni sita za kufanya huo mradi ? ,
Upumbavu mkubwa
 
Kwaiyo ww kwa maoni yako unaona hakuna Mutual benefits btn Tz na DPW?
 
Kwaiyo ww kwa maoni yako unaona hakuna Mutual benefits btn Tz na DPW?
Kwa yale maandiko hapana. Mimi kama dp nitawanyoosha mpaka mtie akili. Kifupi nina uwezo wa kuwalipa pesa ya sgr na mkanikabidhi na nikawalipa pesa mliyoweka bandarini . Halafu nitakuwa nawagawia nolijisikia. Unauza ngombwe wa maziwa kwa kukosa unga wa siku moja au kusherekea birthday
 
Siamini ,najua ni mbinu ya kuifanya WATZ waharakishe huu mkataba na DP W ili kutia uzito
 
Sawasawa, Kenya watajenga reli na kupewa hisa nyingi kwenye bandari ya Mombasa. Upande wenu mlivyowakabidhi bandari zote, yadi zote na njia za usafiri wanawapa nini?
 
Bro
Kwaiyo Mkuu bora TICTS kuliko DP? kwa maoni yako?
 
Sawasawa, Kenya watajenga reli na kupewa hisa nyingi kwenye bandari ya Mombasa. Upande wenu mlivyowakabidhi bandari zote, yadi zote na njia za usafiri wanawapa nini?
Mkuu kwenye ule mkataba wapi unaonyesha kuwa jamaa wamepewa bandari zote
 
Bro

Kwaiyo Mkuu bora TICTS kuliko DP? kwa maoni yako?
TICTS Tunawamudu . Ok walikuwa na shuda gani..maana tunaropoka tu hata hatujui nini shida. Hebu tupe ukweli. Maana shida ya dp ni mkataba sina shaka na capacity . Ila TICTs shida yao nini?
 
Wanatoa 15 trillion Kwa shart wapewe share kubwa kuendesha Bandari ya Mombasa.

Huku hawatoi hata 100,

Huoni kuwa hiyo ni RUSHWA?

Unatumia vizuri akili Yako, au unatumia KICHWA kama duara lenye kuleta shape nzuri ya MWILI?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] we jamaaa unazarau sana
 
Bro

Kwaiyo Mkuu bora TICTS kuliko DP? kwa maoni yako?
Ticts walifanya nini kwa miaka yote?

Biashara za sasa zinataka win win situation. Kula uliwe.

DP World ni bora mara million 10 kuliko mwekezaji mwengine yeyote kwenye bandari yetu kwa sasa.

Hakuna mwenye kuhodhi mizigo mingi na chain link ya logistics ya ukanda huu zaidi ya DP World kwa sasa.

Tukijipindua sisi hachelewi hata dakika tano, anakwenda kwengine popote pale, lonk yake ikamilike.
 
Mkuu ongea yote. Hivyo vipengele hatarishi futa ndio aje. Ticts na dp nia yao moja.
Na usikute bado wapo wana share dp world. Achana na matycoon wewe.
 
Hayo ni matapeli tupu
Na huyu ChoiceVariable ni mpumbavu, amekazana kuleta junk news kila kukicha hapa JF kujaribu ushawishi wa hovyo vs DPw. Kwani Tanzania hata baada ya kutoa Bandari zake zote hao wahuni DPw wataacha mipango yao ya kutaka kuendesha bandari ya Mombasa, Beira na Durban? Hawataacha, wapewe wasipewe Bandari ya DSM ba zingine zote kama walivyopewa.

Nia yao ilikuwa kuanzia Djibouti hadi Durban, kule wakatemwa. Sasa wamebaki na wajingawajinga kwenye ukanda huu, wameamua kuweka kambi.
 
Miaka 23 TICTS kashindwa kufika viwango alivuowekewa na Serikali na hata sasa hivi Nazir Karamagi anaongozana na katibu mkuu wa Ccm kuinad Do sasa mm nani niwapinge Dp
 
Mkuu ongea yote. Hivyo vipengele hatarishi futa ndio aje. Ticts na dp nia yao moja.
Na usikute bado wapo wana share dp world. Achana na matycoon wewe.
M I mi naamini wewe hata huelewi maana ya IGA. Umejazwa ujinga tu.

K7na mikataba kaiandijq magufuli baada ya k7futa mikataba ya awali aliyoikuta kusema ni mibovu.

Sasa hiyo yake aliyodqnganywa na kina kabudi, kama unavyodanganywa wewe sasa hivi, inatutokea puani.

Au huelewi hilo?

Wewe hata upinge kwa mashuzi siyo kwa mdomo na vidole tu, imeshaamuliwa na mikataba ya kazi itafatia. Ukipenda usipende.
 
Kifupi . Hao ni Port and Free Zone World FZE. Na wamekopa large banks duniani. Nakumbuka Saaed Al Kazmi of Rothchild and co ndio financial advisor. Hii kitu ipo kwenye net. Kwa hiyo we are in deep shit indeed.
Hawapo tena nasdaq ,wametolewa 2020
Sasa hivi majority owner WA DP world ni serikali ya UAE .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…