Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Pesa unayo ikiwa hata Bajeti ni ya Msaada Kwa 30%?

Mind, mkopo ni sehemu ya chanzo cha mapato...

Kwenye mradi mkubwa wa kibiashara, nchi inaweza kukopa pesa kwa masharti nafuu na baadaye ikarudisha kwa riba, mifano ya miradi ya namna hii ipo mingi tu...

Haya masharti mapya ya kugawa mali ya umma au ardhi, yameanza kushamirishwa sasa na mataifa ya Asia...

Huu ni ukoloni...
 
Tutakopa kama tulivhokopa kwenye SGR
Shida za forex Kwa Sasa ni pamoja na hayo madeni na pia mikopo haipatikani kirahisi Kwa Nchi Maskini ambazo ziko na risk kubwa.

Mwaka Jana Serikali imeshindwa ku meet obligation za kibajeti Kwa sababu haikuweza ku secure mikopo na misaada waliyotarajia.
 
Ingekuwa rahisi hivyo Kenya wangeenda kukopa huko kwenye masharti nafuu.

Uko rated B- nani akupe pesa nyingi tena Kwa masharti nafuu? Ana kichaa
 
Itabidi ukajiuze huko si ndio wenye hela na wewe huwezi kutafuta mwenyewe
 
Binafsisha Mali zako,inatosha
 
Yaan ww ukishaona tu kuna pesa zitatolewa ili kubinafsisha sekta flan tu baas hujali kuna maslahi ama la ww ni kushabikia tu!! NB; Pesa isijekukufanya uharibiwe matundu ya mwili wako bila kutafakar kwanza!!
Kwa nini kusiwe na maslahi?
 
Wakipewa bandari ya Mombasa na kisha wakajenga Reli mpaka Congo.
Na sisi tukagoma kuwapa Mkataba nasema hivi tutakuja kujilaumu.

Maana naamini Mizigo inayo pitia kwetu kwenda itapitia hukoo Mombasa Kenye na kupelekwa moja kwa moja DRC Mpaka South Sudan.
 
Nyie si mnataka muwe mnatazama Bandari yenu endeleeni hivyo hivyo na ujamaa mbuzi wenu.

Principal ya biashara ni nipe nikupe na mwenye pesa atapata zaidi ila wewe unaangalia kama utapata zaidi kuliko ukichokuwa unazalisha kabla ya uwekezaji.

Hizo ni faida za Moja kwa Moja ila kwenye value chain utapata zaidi.
 
Anachokifanya DP WORLD ni kama mwanaume akitongoza mwanamke akimkataa,,kesho anatongoza rafiki yake.

Lakini mlengwa mkuu ni bandari zetu za Tanganyika,,

Tuwe makini na vishawishi.
 
Je kwenye ule mkataba wa bandari kwa mulio usoma wote,Tanganyika inafaidika na nini?
 
Je kwenye ule mkataba wa bandari kwa mulio usoma wote,Tanganyika inafaidika na nini?
Kikubwa ni kuondoa upuuzi yaani incompetency ya management pale bandarini urasimu,wizi na upotevu wa hela,watu kuvusha mizigo bila kulipia via vimemo,gharama kushuka Kwa wafanyabiashara badala ya kukaa siku 4 itakuwa ni masaa na vyote hivyo vitaongeza mapato mara dufu,kuvutia wafanyabiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…