Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Uchumi wa Dubai unategemea nini?

hata siafu wanatafuta makoloni mapya kila kukicha, cha ajabu nini Dubai Dubai wakitafuta makoloni?
Mawazo yako ya kishenzi kabisa. Yaani tupokatika kujikomboa unaturudisha kwenye ujima. Stupid.
 
Wanatoa 15 trillion Kwa shart wapewe share kubwa kuendesha Bandari ya Mombasa.

Huku hawatoi hata 100,

Huoni kuwa hiyo ni RUSHWA?

Unatumia vizuri akili Yako, au unatumia KICHWA kama duara lenye kuleta shape nzuri ya MWILI?
Huyo Bibi yenu Mzenji sijui waarabu wamempa kitu gani, Yuko too desperate kahonga kila kitu BURE kabisa halafu TIMELESS.

Na visheria vyote ambavyo DP WORLD wanaona vitawasumbua, akaongea na Betina akabadilisha chapu ili ziwafurahishe DP world.

Inashangaza aisee
 


Kwani Zanzbar hamtaki treni?

Kwann msichangamkie fursa muwavute waje kwenu?
 
Mawazo yako ya kishenzi kabisa. Yaani tupokatika kujikomboa unaturudisha kwenye ujima. Stupid.
Wewe unangoja nani akukomboe? Ushajikomboa kwenye lipi?

Kuchamba kwa maji uliyojitafutia mwenyewe umeweza au mpaka uchambishwe?
 
Uchumi wa Dubai unategemea nini?

hata siafu wanatafuta makoloni mapya kila kukicha, cha ajabu nini Dubai Dubai wakitafuta makoloni?
Siafu wanatafuta makao mapya.
Ila Dubai ....
Walikuwa masikini kama sisi.
Sisi tuendelee kuwa koloni tena!!!...
 
Siafu wanatafuta makao mapya.
Ila Dubai ....
Walikuwa masikini kama sisi.
Sisi tuendelee kuwa koloni tena!!!...
Sawa kabisa.

Hatuna tuliwezalo isipokuwa roho mbaya na uchawi.
 
Naona waburushi sasa wanaitaka Africa mashariki maana, ndo lango kuu kwa baadhi ya nchi hususan bandari
 
They are bluffing. Wanawashwa na nini kuja kuwekeza hayo mabilioni huku?

Hizi ni mbinu tu za kuwapa presha wenye roho nyepesi.
Wameshachukua Bandari ya Congo wame Invest Trilioni 3 kwenye Bandari, Wame invest Msumbiji, Senegal na Nchi kibao za Africa.

Pia wote humu hatujui thamani ya uwekezaji wao hapa tz tunabwabwaja tu.
 


Wewe nenda kachangamkie fursa kuuza shamba leo la Ukoo ambapokuna makaburi ya familia uone wajukuu wenu kama watajua wamezaliwa wapi.

Kuna fursa, halafu kuna misimamo na life principles.
 
Wewe nenda kachangamkie fursa kuuza shamba leo la Ukoo ambapokuna makaburi ya familia uone wajukuu wenu kama watajua wamezaliwa wapi.

Kuna fursa, halafu kuna misimamo na life principles.
Kama tunahitaji pesa na lipo sehemu potential na hatuna namna ya kulifanya kuwa potential zaidi napiga bei tunagawana pesa.

Bahati nzuri Nchi haiwezi kuuzwa.
 
Hizo tunazonunua cash tu zinatushinda kuendesha kwa Faida sembuse ukope trilioni 15? Hata uwekewe Riba ndogo tu asilimia 1 kila mwaka hio ni Bilioni 150 ya riba, mnaongea nadharia zisizotekelezeka.
 
Dola bilion 6 ni hela kiduchu kwa Taifa huru kama Tanzania kama tukiamua kuwa serious.

Tuuze midege tuwekeze hela kwenye bandari zetu!
Wanatujaza upepo. Malengo ya DB ni monopoly sio competition. Hivyo tusidhani kuna kuwahi au kuchelewa ni titazo. Atakayekuwa salama ni yule ambaye atakuwa huru dhidi yake ingawa atapata competition.
 
Ndiyo maana wanawania vya kwetu.
 
Yaani wapewe bandari na wasitoe hata 100, faida yote kwao ilhali sie tulikopa kujenga bandari na deni halijaisha, tuwalipie mkopo na riba wakati pesa zote wapeleke uarabuni.

Huu ni ukichaa wa viwango vya juu sana.


CCCM must go!!!
Watumie ardhi yetu kuombea mkopo halafu wa default wakimbie tuuzwe.
Au waipende Mombasa sisi watuache na padode.
 
Naona waburushi sasa wanaitaka Africa mashariki maana, ndo lango kuu kwa baadhi ya nchi hususan bandari
Soma historia yako vizuri utakuta hata wabantu kihistoria walikuja tu huku bandarini, wawahi kuchukuliwa utumwani.

Mtanzania ndiyo katika mataifa machache duniani anakwenda kuvizia meli bandarini ajifiche (stowaway) ajipeleke utumwani mkitaka msitake, halafu anajisifu.

Na wengi tumesikia wakitoswa baharini wakafie mbele, cha kustaahabisha hatujasikia "waburushi" wala Waarabu wakitosa mtu, tunasikia kina nani wakitosa? Na kimyaaa tunawachekelea tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…