Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Wanatujaza upepo. Malengo ya DB ni monopoly sio competition. Hivyo tusidhani kuna kuwahi au kuchelewa ni titazo. Atakayekuwa salama ni yule ambaye atakuwa huru dhidi yake ingawa atapata competition.
Hakuna Mfanyabiashara anaetaka Competition. Lengo la biashara yoyote Duniani ni monopoly, lengo la Serikali ni kupunguza Monopoly.
 
Hakuna Mfanyabiashara anaetaka Competition. Lengo la biashara yoyote Duniani ni monopoly, lengo la Serikali ni kupunguza Monopoly.
Unapunguza monopoly kwa kumpa mtu aliyepewa mamlaka ya kucontrol bahari ya hindi. From suez canal to Cape Town.
 
Kwahiyo mabwenyenye ya Dubai ndio waafrica?

Africa is for Black. Arabs wabaki kwao huko mashariki ya kati wachime mafute.
Waache waje hutoamini kitakacho wakuta.

Tutawachinja kama tulivyowachinja mapinduzi ya Zanzibar.
 
Unapunguza monopoly kwa kumpa mtu aliyepewa mamlaka ya kucontrol bahari ya hindi. From suez canal to Cape Town.
Haijalishi ila Mfanya Biashara lazima atake ku Control, its up to us kupunguza hio Monopoly, mfano tunaweza chukua Kampuni nyengine kama Mbadala wa Dp world na kutengeneza hio Competition. Ila kutaka Dp world wenyewe watengeneze Competition itakua ndi ndoto tu hawatafanya hivyo kamwe.
 
Huwezi kusema kilichopo sasa Mahakamani pale Mbeya hakina tija kwa Taifa! na naomba uelewe hatukai uwekezaji pale Bandarini ila tunataka mkataba ambao utabana pande zote na kunufaisha pande zote.

Mfano:- Katika IGA ambayo tumesaini sisi tumebanwa na kifungu cha pili katika Article 4 ambacho kinatupasa kuitaarifu Dubai juu ya fulsa nyingine ambazo tutaziona katika ukanda wote wa Bahari na Maziwa ila tumeshindwa sisi kuwabana hawa DP World kuwa wasije kuwekeza katika nchi yoyte shidani nasisi katika Bandari za Maziwa na Bahari.

NB: Hata asipokuwa Dubai ila kwa ramani ya Kenya mpaka Uganda na Congo ujenzi hautaepukika kamwe! ata baada ya miaka 10 watakuja kujenga tu reli kama sisi tunavyojenga sasa toka Dar to Kigoma.
 
Una ubavu huo wa kumkatalia dp leo kuwa umpunguzie vipengele. Kifupi kwa kazi za pale unaweza toka hata kwa kampuni tatu tofauti. Akizingua unamtimua wakati huo sharti wabongo wawepo kwenye management.
 
Wanatoa 15 trillion Kwa shart wapewe share kubwa kuendesha Bandari ya Mombasa.

Huku hawatoi hata 100,

Huoni kuwa hiyo ni RUSHWA?

Unatumia vizuri akili Yako, au unatumia KICHWA kama duara lenye kuleta shape nzuri ya MWILI?

Kama sio dhambi ni sawa tu wapate shea kubwa, hawataki waache, waarabu hawana tabu wala ujinga, kama ni pesa wanazo, wakiamua dar, arusha na mwanza kuzinunua hawashindwi.

Halafu waarabu ni wakarimu, wapole, wana roho nzuri, na wana imani.
 
Kwahiyo mabwenyenye ya Dubai ndio waafrica?

Africa is for Black. Arabs wabaki kwao huko mashariki ya kati wachime mafute.
Waache waje hutoamini kitakacho wakuta.

Tutawachinja kama tulivyowachinja mapinduzi ya Zanzibar.
Una mawazo mgando, huo Uafrika alikupachika jina hilo mzungu ambae alikugawa akutawale.

Karne na karne kabla ya kuja mzungu bahari ya hindi biashara zilikuwepo.

Soma kuhusu Kilwa ruins, kaole ruins na Raptha.
 
Hizo tunazonunua cash tu zinatushinda kuendesha kwa Faida sembuse ukope trilioni 15? Hata uwekewe Riba ndogo tu asilimia 1 kila mwaka hio ni Bilioni 150 ya riba, mnaongea nadharia zisizotekelezeka.

Kwa hiyo unaona ni sawa kukabidhi kwa waarabu?
 
Nimekwambia tumia akili.

Kenya hawajaingia hata hiyo IGA lakini wametanguliziwa offer ya tri 15,

Huku Hadi IGA inasainiwa mwaka sasa lakini hakuna popote imeandikwa watatoa hata 100 mbovu!!
wewe ni zuzu hakuna unalojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…