Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Si unaona at least hapo DP WORLD ametaka apewe SHARE nyingi za uendeshaji wa bandari ya MOMBASA. Je ktk mkataba wa Tanzania na DP WORLD unaweza onesha wapi wameongelea umiliki wa HISA?. Mkataba wa TANZANIA na DP WORLD ni mkataba kandamizi Kwa maslahi ya WATANZANIA.
 
Kwa hiyo unaona ni sawa kukabidhi kwa waarabu?
1. Hio Trilioni 15 ni ya Kenya sio Tanzania hatuujui Uwekezaji wa hapa ukoje

2. Numejibu hoja yako kwamba tunaweza kutafuta na kuendeleza Trilioni 15, jibu fupi hatuwezi.
 
Mkataba wa Dp world na Tpa bado haujaingiwa. Huo ndio utakaoadress hayo unayoyauliza.
 
Acha ukunguni wewe kwanini wasiende bandari ya Zanzibar
 
Yaani wapewe bandari na wasitoe hata 100, faida yote kwao ilhali sie tulikopa kujenga bandari na deni halijaisha, tuwalipie mkopo na riba wakati pesa zote wapeleke uarabuni.

Huu ni ukichaa wa viwango vya juu sana.


CCCM must go!!!

Ila wee jamaa unaonyesha una chuki sana kwa waarabu, jitathmini upya na ubadilike.
 
Mkataba wa Dp world na Tpa bado haujaingiwa. Huo ndio utakaoadress hayo unayoyauliza.
Kwa hyo huo wa Kenya ushaingiwa kiasi DP WORLD atake shares?. Na kama ni ivo Kwa nn huu wa Tanzania hausemi habari ya shares/faida atakazopata Tanzania. Huu ndio mkataba mama lazima utamke mambo ya msingi kama hayo ambayo Sasa upatikanaji wake ndio utafafanuliwa ktk HIGA. Si vema kudhani Kila mtu unawasliana nae humu ni layman.
 
Acha ubaguzi na chuki, hii nchi ya wote. Labda wewe ndio uhame nchi.

Muungano wa nyerere ni upi? Tena ni bora muungano ufe, utaona Zanzibar itakavyoneemeka.
Haswaaa.

Waarabu waishie akenya na Zanzibar.

Hapa Tanganyika tunataka mabwana wa kizungu na kichina tu.
 
Hakuna Cha Utapeli, biashara ni nipe nikupe hutaki Baki na umaskini wako
Yaani mimi nina nyumba halafu wewe ni mpangaji,nikitaka kuendeleza nyumba yangu au sehemu ya kiwanja iliyobaki "nalazimika" kukuhusisha wewe mpangaji kabla ya kuendeleza, nayo hii unaita ni biashara au utumwa mamboleo!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…