Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Yaan ww ukishaona tu kuna pesa zitatolewa ili kubinafsisha sekta flan tu baas hujali kuna maslahi ama la ww ni kushabikia tu!! NB; Pesa isijekukufanya uharibiwe matundu ya mwili wako bila kutafakar kwanza!!
Kashaharibiwa huyo.
 
Hata wa Kenya hicho unachokiona ni part ya makubalioano sio makubaliano yote, proposal hatuijui.
 
Hakuna mtanzania anayekataa uwekezaji wa DP World, ni kwamba wao hawajala
 
Hakuna mtanzania anayekataa uwekezaji wa DP World, ni kwamba wao hawajala
Hii ni nntu na ntu..
Kuna chuki
Kukosa uelewa
Kulinda chakula either way.
Kuna wale ambao wangependa siku moja hata wakitoka nje ya Tanzania waonekana wana akili na wakiwa nchini wahenshimiwe kuwa ni watu sio viazi.
Uchaguzi ni wako sasa.
Kifupi kama ndio mimi umenipa kwa makubaliano yale nakwambia mtalimia meno.
 
1. Hio Trilioni 15 ni ya Kenya sio Tanzania hatuujui Uwekezaji wa hapa ukoje

2. Numejibu hoja yako kwamba tunaweza kutafuta na kuendeleza Trilioni 15, jibu fupi hatuwezi.

Title....Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T).....

Shilingi ya Kenya inaitwa Tshs?
 
Wanatoa 15 trillion Kwa shart wapewe share kubwa kuendesha Bandari ya Mombasa.

Huku hawatoi hata 100,

Huoni kuwa hiyo ni RUSHWA?

Unatumia vizuri akili Yako, au unatumia KICHWA kama duara lenye kuleta shape nzuri ya MWILI?
Ni kweli wanataka kuinunua bandari ya Mombasa kwa trillion 15 lakini bado Kenya bado wanasita kusaini hiyo IGA.

Sisi tayari tumeshasaini na bunge ku rectify IGA ya kuwapa bure (donate) bandari zetu zote za maji na kavu hao ndugu zetu. Tukubali tumekosea sana. Hizo hela za kuboresha bandari tukakope huko World Bank na African Development Bank kama ambavyo tulikopa zile za SGR na JNHPP Kwanza hizi za bandari ni pesa kidogo sana ukilinganisha na zile za JNHPP au zile SGR. Bado tunakopesheka, kwa nini tuuze au tutoe bure rasilimali zetu. Hawa waarabu wa UAE wamepamia kumiliki bandari zote za bara la Afrika. Tayari wameshaanza kupata mafanikio.

UAE ni ka nchi kadogo sana kenye watu wasiozidi million tatu. Ukubwa wa eneo la Dubai Emirate ni sawa na eneo la wilaya ya Sengerema. Utajiri wao wanaoturingishia umetokana na rasilimali yao ya mafuta ambayo wameitumia vizuri hadi kutajirika. Sisi nchi yetu ni kubwa mara 100 na ina rasilimali zaidi ya mia kuliko hao UAE. Shida yetu tumeshindwa kutumia hizi rasilimali zetu na kubaki masikini wa kutupwa. Tunazitoa bure au kuziuza bei ndogo sana hizi rasilimali zetu. Tuzinduke sasa.
 
Title....Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T).....

Shilingi ya Kenya inaitwa Tshs?
Mbona unaifupisha?

Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port​


Ipo hivyo Title na mabano yanamaanisha ni maneno ya mtoa mada kuwarahishisa watu wajue $6B ni kiasi gani hela ya madafu. Ila Title inaelezea kabisa mada inahusu Kenya, hata mimi nimesema tu Trilioni 15 kurahisisha figure.

Yote hayo hayana maana unahamisha tu Magoli.
 
Sasa kwanini DP WORLD wasitujengee sisi reli kutoka kahama--- kigali --- Goma kama kufidia na kifuta .achozi waliotufanyia kwenye mjtaba tata
 
Nimekwambia tumia akili.

Kenya hawajaingia hata hiyo IGA lakini wametanguliziwa offer ya tri 15,

Huku Hadi IGA inasainiwa mwaka sasa lakini hakuna popote imeandikwa watatoa hata 100 mbovu!!
Mwambie huyu jamaa haelewi wanafikiria kuombaomba tu
 
Yaani wapewe bandari na wasitoe hata 100, faida yote kwao ilhali sie tulikopa kujenga bandari na deni halijaisha, tuwalipie mkopo na riba wakati pesa zote wapeleke uarabuni.

Huu ni ukichaa wa viwango vya juu sana.


CCCM must go!!!
Hawa waarabu wameanza kuwa watoa rushwa kwa viongozi wetu wenye tamaa sasa waende wakanunue timu za mipita huko ULAYA kwa watu wanojitambua
 
Mind you in business especially during negotiation process what Dubai is doing is called a ploy setup,it's on intended to manipulate us into a deal favorite to them, by creating a sense of urgency on tz
 
Sio kweli ,kwani hawa ndio wana dawa za uchumi wetu, ngoja nikupe mfano nyerere aline.va TAZARA kurahisisha usafiri zambia na kongo leo hii viongozi wetu wameitelekeza imekuwa white elephant project tatizo sio miundo mbinu tatizo ni viongozi wetu ni tamaa na malimbukeni
 
Tanzania ni shamba la bibi.Kule wanaomba share tu,na hela wanatoa. Kwetu tunawapa Bandari bureeeee,na hela za kuendeleza bandari TPA ndo wanatoa.Mkumbuke Serikali ilikopa ma trilion ya kuendeleza Bandari.
Tuna viongozi wez OK sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…