Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Maloli maloli maloli malolilililioo
 
Sasa hapa ndio umeandika nini? Hoja ni kwamba Dubai wakishika Mombasa Port na nyie mkabakia na urasimu wenu Dar Port itaishia kuwa tembo mweupe so hoja sio reli Bali Mombasa Port
Ujiambiwa mkataba wa waarabu ni mbovu wa kinyonyaji uwe unaelewa warekebishe acha ufisadi
 
Ujiambiwa mkataba wa waarabu ni mbovu wa kinyonyaji uwe unaelewa warekebishe acha ufisadi
Jamaa anaamini hao watu wana nia ya kuendeleza bandari . Hajasikia kuwa mangwapwani ndio itakuwa the bigest
 
Hayo ni matapeli tupu
Soon Dubai anatoa pesa ya kujengea China anaingia kudai madeni yake. Wakishindwa china naye awepo ktk mradi. Hiyo project is doomed to fail. Kenya ana ugomvi na Sudan na Somalia. Hiyo reki itakuwa sehemu ya kujifunza shabaha kwa Shabaab from Somali. Ni mjinga tu atakayewekeza pesa yake kwa Kenya ktk mradi kama huo unless watake kuwapiga Kenya ktk vipengele vya mradi kama walivyotaka kufanya huku kwamba kwa lolote Mwarabu hana Cha kupoteza.

Ilianza CoW ikaisha. Hata hii itaisha tuu. Route nzuri ni ya Dar.
 
Ina maana ungekuwa rais au kiongozi haya ndo yaliyokichwani mwako siyo?
 
Dola bilion 6 ni hela kiduchu kwa Taifa huru kama Tanzania kama tukiamua kuwa serious.

Tuuze midege tuwekeze hela kwenye bandari zetu!
CCM Ina watu wapumbavu sana wanapoona pesa Mbele Yao.
CCM imeshaharibu mustakabali mzima Wa nchi hii baada ya kuvamiwa na Wageni na walarushwa.

Yaani tunanunua mandege na matreni Kwa matrion Kisha kuwapa management wale wale Wanaoitwa Wala Rushwa walioshindwa kukusanya pesa za Bure pale bandarini Kwa sababu tu ya kuwa na watawala dhaifu wasio na Uzalendo .

Bandari ni rahisi sana kuiendesha Kama tutaifuta CCM na kuwafunga walioifikisha hii nchi kwenye kiwango hiki Cha uhuni.

Hebu fikiri Stendi zilizopo Kila Halmashauri nchi Nzima wanavyokusanya pesa nyingi za Bure tu halafu zinaishia mifukoni Mwa Wachache kuke Halmashauri wakishirikiana na watu wao waliotungiwa Sheria za kipumbavu za zabuni .

Huvi Serikali inashindwa nini kujua takwimu ya mabasi yanayoingia stendi nchi Nzima na kukusanya mabilioni ya pesa zisizihitaji teknolojia Wala nini zaidí ya uadilifu.
Stendi inaingia mabasi Mia mia nane Kwa Siku halafu pesa zinazoingia Halmashauri ni za mabasi Mia Tatu. Nyingine Zote zinaishia kwenye mifuko ya wajanja . Wananchi wanaongezewa Kodi,Tozo na kikakotoo. Viongozi Wa CCM wanazidi kujilimbikizia Mali na kutafuta pesa za Rushwa wakati Wa Uchaguzi. Wanaoshindwa kwenye uchaguzi wanateuliwa kuwa Wakurugenzi Ili wakaimarushe mtandao Wa Wizi kule Halmashauri. Kundi hilo hilo linamtafuta Mwarabu aje akusanye pesa na rasilimali za nchi na kugawana nao Tena Kwa Rushwa.
 
Sasa kwann sisi hata shilingi hamming sh.50/= hajatuahidi ila Kenya wamewahidi ma trinity pesa sisi hakupend au
 
[emoji7][emoji7]
 
Kombe la dunia liliandaliwa na nchi moja tu QATAR.....

Baadhi ya NCHI za ULAYA huwa zinashirikiana kuandaa KOMBE LA DUNIA...

Korea na Japan waliandaa PAMOJA...

Hivi hushangai kwa "nchi ndogo kieneo" Qatar kuiandaa MICHUANO iliyokuwa BORA ZAIDI KUPATA KUTOKEA ?!!!

Kwani mzungu anampenda sana mwarabu ?!!

Dunia ni ya MAKUBALIANO YA MASLAHI PANDE ZOTE....

Hawa wanaopinga mradi wa DP WORLD walipelekwa shule kusomea "LGBT"?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Wanataka kuwekeza kila mahali. Wawekezaji matapeli hawa. Wanatafuta control.
Nani asiyetaka CONTROL ?!!

Labda huko kwa viumbe wa SAYARI ZA MBALI ?!!!

Kuna anayekulazimisha kuingia MAKUBALIANO ?!!

Hivi shuleni tunapelekwa kufundishwa "upumbavu"?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Waache utapeli, kama wapo serious wabadilishe vipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…