Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Baada ya maombi mazito hatimaye mtoto wa mfalume aweka rekodi yake msimu huu
Hat-trick' ya kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 imefungwa na Prince Dube
Tangu ligi ianze Dube amekuwa na wakati mgumu katika ufungaji na ikafika hatua mashabiki wa Yanga na wadau wa soka kuanza kusema na kushusha kiwango chake na wengine wakafika mbali kwa kusema Yanga walifeli kumsajili Dube.
Lakini leo amejibu maswali ya watu wengi na kama ataendelea na uwezo wake wa kufunga basi Dube atakuwa tishio ndani ya ligi kuu katika msimu huu.