Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Muite mhasibu mwenye gunduKuna mhasibu uchwara mtoto wa OKWI BOBAN SUNZU alianzisha uzi wa kihasibu wa PRINCE DUBE kwenda yanga ni hasara. ngoja niufufue.
Acha tamaaaaBadoo anakosaa magoal kibaoo,kunamojaa angekimbilia kwenye box angewapasia tenaa.
Una uthibitisho kuwa alitupiwa gundu?Lile gundu alilotupiwa limetoka.
Ni mepesi kuliko Yale ya penaltiesMagoli mepesiii hakuna la kiufundi hata moja...yote ni kama alikua amepangwa ili apelekewe..hahaja
View attachment 3181007
Malizia beee
Kwa hiyo kama Aziz Ki anakosa penalty hilo ni kosa la Ahoua!? By the way Mukwala kagonga 3 nje ya dakika 90 na kwa mechi zaidi ya moja!? Maana naona kama unataka kuipa hat-trick ya Dube utukufu uchwara sasa, wakati vigezo vya hat_trick vinajulikana.Kuna yule mwenye goli 5 lakini 3 zote za kutengewa(penalty) ili afunge,,mwanamfalme kaibuka na kugonga 3 ndani ya dk 90 na ndani ya mechi moja