Dube awaahidi makubwa Yanga

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Mshambuliaji wa timu ya Yanga SC Mgadafiprince ametoa shukrani kwa uongozi wa timu oamoja na mashabiki wa yanga kwa kumpa sapoti tangu kujiunga kwake na timu hiyo, aidha mshambuliaji huyo amewaahidi wanayanga kuwafanyia makubwa kwenye michezo inayofuata ya kitaifa na kimataifa baada ya kupata matokeo mazuri ya pre season mbele ya kaizer chiefs.

Your browser is not able to display this video.

 
Health aache tabia ya kuwarubuni wachezaji wa timu pinzani ambao wana mkataba na timu zao.
Asubiri mwisho wa mkataba yao ndio atoe ofa yake.
 
Manara naye ameahidi makubwa, bado yupo sana hadi 2026

 
Health aache tabia ya kuwarubuni wachezaji wa timu pinzani ambao wana mkataba na timu zao.
Asubiri mwisho wa mkataba yao ndio atoe ofa yake.
Simba walimchukua Morrison wakati ana mkataba na Yanga, Azam wakamchukua Feisal wakati ana mkataba Tena katikati ya msimu.

Yanga walipitia ayo machungu na maisha yanaendelea na kwakua wapi nzani wa Yanga waliya anzisha ayo, wategemee kuendelea kujibiwa kwa Kila dirisha la usajili mpaka waje wapige magoti na kuomba samahani.
 
Manara na Senzo tuliwachukua wakiwa huru
 
Morrison mkataba wake uliisha na ikathibitishwa hivyo na kamati ya TFF ndio maana akashinda kesi.
Angekuwa ndani ya Mkataba angeshindwa kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…