Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu hata sisi tunaona, anaikaba sana timu . Huyu hatakiwi mechi ngumu kama zile.Ifike mahali tuheshimu taaluma za watu. Kocha ndio yupo nao mazoezini kila siku, anajua yupi anaperform yupi haperfom.
Inawezekana hafungi lakini akiwepo timu inashinda. Ni kocha mpumbavu ndiye atayebadili kikosi kinachompa ushindi.
Mpira ni zaidi ya namba za goals na assists. Ukiwa muumini wa wa hivyo vitu kuna siku utakuja utasema Olivier Giroud ni bora kuliko Ronaldo De Lima kwababu ana magoli mengi.
Dube kuondolewa kikosi cha kwanza hadi timu ipate matokeo mabovu au anaocheza nao wamshawishi kocha huko mazoezini au kwenye dakika chache wanazopata.
Kwa hiyo acheze rege tu.Hii ni fact
Dube kaja kuirudisha yanga nyuma
Ni ukweli mtupu.Muhimu timu imepata ushindi. Ila kwa jana tukubali tu hakuwa na mchezo mzuri kwa dakika zote 90+ alizocheza. Jana man of the match kwa upande wa Yanga alikuwa ni Stephanie Aziz Kii.
Kocha yupo vizur uwezi kuanzisha wachezaji ambao wanacheza kwa kukimbilia pembeni Dube mzuri mudo wote yupo mbele kwahiyo ana wazuia Beki za kati zisipandishe mashambulizi, ingekua vizuri Baleke a here kipindi cha pili nae ni mzuri muda wote yupo ndani ya boksiIfike mahali tuheshimu taaluma za watu. Kocha ndio yupo nao mazoezini kila siku, anajua yupi anaperform yupi haperfom.
Inawezekana hafungi lakini akiwepo timu inashinda. Ni kocha mpumbavu ndiye atayebadili kikosi kinachompa ushindi.
Mpira ni zaidi ya namba za goals na assists. Ukiwa muumini wa wa hivyo vitu kuna siku utakuja utasema Olivier Giroud ni bora kuliko Ronaldo De Lima kwababu ana magoli mengi.
Dube kuondolewa kikosi cha kwanza hadi timu ipate matokeo mabovu au anaocheza nao wamshawishi kocha huko mazoezini au kwenye dakika chache wanazopata.
Vile vile hizo timu siyo vibondeIfike mahali tuheshimu taaluma za watu. Kocha ndio yupo nao mazoezini kila siku, anajua yupi anaperform yupi haperfom.
Inawezekana hafungi lakini akiwepo timu inashinda. Ni kocha mpumbavu ndiye atayebadili kikosi kinachompa ushindi.
Mpira ni zaidi ya namba za goals na assists. Ukiwa muumini wa wa hivyo vitu kuna siku utakuja utasema Olivier Giroud ni bora kuliko Ronaldo De Lima kwababu ana magoli mengi.
Dube kuondolewa kikosi cha kwanza hadi timu ipate matokeo mabovu au anaocheza nao wamshawishi kocha huko mazoezini au kwenye dakika chache wanazopata.
Na utoto utoto mwingi Mayele hakuwa hivyo.Dube ana kipaji kikubwa Sana ila kwa nafasi anayo cheza anahitajika kuongeza fitness yake kwa kiwango kikubwa.
Kama akiwa fit mara tatu ya alivyo Sasa , Dube ni Zaidi ya wembe kwenye kufunga Mabao.
Achana na hao mamluki Mkuu 😂😂 atakuwa katokea upande wapili hukoUmesahau Dube kafufua matumaini ya Yanga kule DRC mechi ya kwanza na TP Mazembe.