Dube sio level ya kimataifa. Ni bora wacheze Mzize na Musonda kama washambuliaji. Dube apumzike

Ifike mahali tuheshimu taaluma za watu. Kocha ndio yupo nao mazoezini kila siku, anajua yupi anaperform yupi haperfom.

Inawezekana hafungi lakini akiwepo timu inashinda. Ni kocha mpumbavu ndiye atayebadili kikosi kinachompa ushindi.

Mpira ni zaidi ya namba za goals na assists. Ukiwa muumini wa wa hivyo vitu kuna siku utakuja utasema Olivier Giroud ni bora kuliko Ronaldo De Lima kwababu ana magoli mengi.

Dube kuondolewa kikosi cha kwanza hadi timu ipate matokeo mabovu au anaocheza nao wamshawishi kocha huko mazoezini au kwenye dakika chache wanazopata.
 
Hakuna kitu hata sisi tunaona, anaikaba sana timu . Huyu hatakiwi mechi ngumu kama zile.
 
Muhimu timu imepata ushindi. Ila kwa jana tukubali tu hakuwa na mchezo mzuri kwa dakika zote 90+ alizocheza. Jana man of the match kwa upande wa Yanga alikuwa ni Stephanie Aziz Kii.
Ni ukweli mtupu.
 
Kocha yupo vizur uwezi kuanzisha wachezaji ambao wanacheza kwa kukimbilia pembeni Dube mzuri mudo wote yupo mbele kwahiyo ana wazuia Beki za kati zisipandishe mashambulizi, ingekua vizuri Baleke a here kipindi cha pili nae ni mzuri muda wote yupo ndani ya boksi
 
Vile vile hizo timu siyo vibonde
 
Dube ana kipaji kikubwa Sana ila kwa nafasi anayo cheza anahitajika kuongeza fitness yake kwa kiwango kikubwa.
Kama akiwa fit mara tatu ya alivyo Sasa , Dube ni Zaidi ya wembe kwenye kufunga Mabao.
 
Dube ana kipaji kikubwa Sana ila kwa nafasi anayo cheza anahitajika kuongeza fitness yake kwa kiwango kikubwa.
Kama akiwa fit mara tatu ya alivyo Sasa , Dube ni Zaidi ya wembe kwenye kufunga Mabao.
Na utoto utoto mwingi Mayele hakuwa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…