Duce matokeo hayasomeki.

Duce matokeo hayasomeki.

omoghaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
293
Reaction score
166
Mimi ni Miongozi mwa Wanafunzi wa DUCE niliyefanya Mtihani wa SUPP mwaka wa tatu.Cha kushangaza Matokeo mpaka Leo hayajatolewa isipokuwa kwenye masomo niliyokamatwa wameweka _**To Supp.GPA vilevile wamebandika.sasa sijui GPA wametoa wapi wakati Masomo Mawili niliyokamatwa hayajajazwa alama.Anayeelewa naomba anijuze kwani nimechanganyikiwa.
 
Hapa mimi hivyo hivyo GPA imeongezeka lakini hawajajaza ,the same to you ila mimi nipo COET
 
Back
Top Bottom