Duce vs udom

Duce vs udom

oil sumu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
787
Reaction score
47
chuo kipi kati ya duce na udom kinachotoa elimu bora kwa b.a ed?
 
elimu bora sio chuo bali ni mlolongo wa mambo mengi sana
 
Kama ni education soma popote hata TEKU.

Mwalimu regardless una first class ya chuo gani unapangiwa shule yoyote.
But kama kuna kitu unataka cha tofauti ndani ya hiyo degree kwaajili ya kukunufaisha tafuta kilipo ukasome.
Mwalimu ni Mwalimu tu.
 
vyote vibaya maana ukisoma unakua masikini kionoma mtu wangu wa nguvu!!!!
 
hivi huyu aliyeleta hii kichwani kuna ubongo? Haya majukwa yanavamiwa sasa
 
hivi huyu aliyeleta hii kichwani kuna ubongo? Haya majukwa yanavamiwa sasa

Siku hizi kuna utoto mwingi sana humu mara duce vs mkwawa,mwingne saut vs tumaini basiii ili mradi fujoooo
 
Back
Top Bottom