Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Nilimuona jana, Sam ikabidi ajifanye anasoma comment maana anaropoka hana break halafu kipindi kiko live. Sasa bwana mamba kama hujatetereka kwanini unaendelea kuwaongelea kila ukipewa interview?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Walimuuaga Saida asee, waki mfanyiaga kitu kibaya sana mhaya wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…