Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia.
”Konki ni mtu aliyefuzu vikwazo vingi, Konki ni mwanaharakati.
Naweza nikasema kwenye ‘movies’ wakina Arnold Schwarzenegger, wakina Rambo, Cheni.
Ukija hapa kwenye muziki wakina Bi Kidude hao ni Makonki, Mzee Zahiri Zoro babake Banana Zoro wamepita kila aina ya matukio ya vita.
Sasa Konki hii ni lazima uitamke mara tatu Konki Konki Konki Master.”