Dudu Baya aeleza maana ya neno Konki Master

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia.

”Konki ni mtu aliyefuzu vikwazo vingi, Konki ni mwanaharakati.
Naweza nikasema kwenye ‘movies’ wakina Arnold Schwarzenegger, wakina Rambo, Cheni.

Ukija hapa kwenye muziki wakina Bi Kidude hao ni Makonki, Mzee Zahiri Zoro babake Banana Zoro wamepita kila aina ya matukio ya vita.

Sasa Konki hii ni lazima uitamke mara tatu Konki Konki Konki Master.”

 
Siyo "moves" ni "movies" !! Acha kuharibu lugha ya watu.
 
Wengine wanasema eti konki ni Mtu anaye drill oil chafu.
 
Ni li mwehu yeye pamoja na wanaopambana naye
 
Konki Konki Konki Masters
Hiyo Aliyopanda Isijekuwa Toyota Surf Wakati Wa Mo
 
Hivi kweli JF imefikia hapa!!
Kukaa na kumjadili Dudu baya!!!?
Daaaaaaaaah nashindwa kuamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…