Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Nov 7, 2018 #21 Konki Konki Konki Master (Monster?) huwa havuki barabara. Akitaka kuvuka barabara, akiikaribia, badala ya yeye kuvuka barabara, barabara inamvuka yeye, halafu anaendelea na safari zake.
Konki Konki Konki Master (Monster?) huwa havuki barabara. Akitaka kuvuka barabara, akiikaribia, badala ya yeye kuvuka barabara, barabara inamvuka yeye, halafu anaendelea na safari zake.