Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Je unafahamu kwamba asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara ama mjasiriamali na asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka na kwamba hii assilimia 20 ina nguvu hata kuziua biasharaLike Who?
Ongeza minofu hio nipo hapa nasikiliza mziki laini huku nasoma kitabuJe unafahamu kwamba asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mfanya biashara ama mjasiriamali na asilimia 20 ni mjasiriamali na yanayo mzunguka na kwamba hii assilimia 20 ina nguvu hata kuziua biashara
Minofu ninayo ya kutosha tena sanaOngeza minofu hio nipo hapa nasikiliza mziki laini huku nasoma kitabu
Ubungo Kibangu pameweka Memory kichwangu kwangu nishatembea sana huko mimi shusha panda sana vilima long time ago