Dudu baya ala shavu afanya bonge la ngoma na layvany wa WCB

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wakuu

Kwanza tunaanza na salam

Konk konk konk master yes ni konk tena kuiteka dunia jamaa kaja na bonge la pin ambalo kamshilikisha rayvany. Goma ni sumu sana ngoma haijaachiwa bado lakin kwa jinsi nilivyoisikiliza hii pin ni Kali kushinda la nyegez , pin hili nimelisikiliza Jana studio nilipokuwa nimeenda kuchukua ngoma Yangu

Stay tune goma linakuja

Kwa wale wasiomjua dudu baya. Dudu baya ni msanii na mwenyeketi wa CHAKUMA. CHAKUMA ni nini CHAKUMA. ni chama cha kupambana na machoko

LONDON BOY
IMG_20181104_121511_336.jpeg
 
Je!Sisi Situmesema Vema Ya Kuwa U-Mwana Wa Dr Shika,Nawe Unam'suba Kichwani..???
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Kwanza tunaanza na salam

Konk konk konk master yes ni konk tena kuiteka dunia jamaa kaja na bonge la pin ambalo kamshilikisha rayvany. Goma ni sumu sana ngoma haijaachiwa bado lakin kwa jinsi nilivyoisikiliza hii pin ni Kali kushinda la nyegez , pin hili nimelisikiliza Jana studio nilipokuwa nimeenda kuchukua ngoma Yangu

Stay tune goma linakuja

Kwa wale wasiomjua dudu baya. Dudu baya ni msanii na mwenyeketi wa CHAKUMA. CHAKUMA ni nini CHAKUMA. ni chama cha kupambana na machoko

LONDON BOYView attachment 943103
Uchafu tu, Ngoma ina ukali gani hiyo!
 
Daaah tatizo ameikawiza kiaina japo bado jina lake lipo mtandaoni.

Ila sakata la korosho lilizima kiaina kadhia yake

Sio mbaya maisha yanaenda.

Back
Top Bottom