Dudu Baya: Ashangazwa na media kukuza vitu vya hovyo

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Mwanamziki Dudu baya a.k.a Konki Konki Konki Master ashangazwa na kitendo cha media nyingi kurusha vitu vya hovyo hewani pamoja na kuwahoji watu kama James Delicious, Amber Rutty ambao wanasifika kwa mambo machafu lengo lao ni nini?

Dudu Baya "Ameongeza pia kuna siku nilisikia mtangazaji ana hoji mambo ya hovyo hovyo bila hata kuchuja mambo, hivi vitendo vinachochea vitu vya kijinga kuongezeka Tanzania kwasababu wahusika wanaamini wakifanya vitu vya kipuuzi media zitawaomba mahojiano na watakuwa maarufu kweli hili nitalifanyia kazi na nitaongea na mhe Mwakyembe"

 
Mkuu VP uandishi wako hujasoma mwandiko enzi hizo duh!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oil chafuu, mbona yeye hizo airtime anapata kwa mambo ya kipuuzi puuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…