Dudu baya atoa ushauri kwa BASATA

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii dudu baya aka konki konki konki master amefunguka kuhusu issue ya Menina na Mwijaku uliyotoa baada video chafu ya wasanii hao kuvuja hivi karibu amesema Kama ifuatavyo " hivi vitendo vimezidi kukuwa kwa Kasi kwa sababu BASATA imekuwa sehemu ya kulea Huu upuuzi hivi vitu vya kuvujisha video za ngono zinafanywa makusudi ili muhusika kupata soko lakini pia kuongeza umaarufu kwa kupata followers wengi ili kukomosha hili suala BASATA wanatakiwa kuwafungia mwaka mzima wahusika wanaofanya ngono wasifanye shughuri za sanaa na kuwakataza kutohojiwa na chombo chochote Cha habari kwa kipindi chote Cha huo mwaka na kutozwa kiasi Fulani Cha fedha alafu tuone watafanya huo upuuzi? Lakini Kama BASATA wataendelea na utaratibu Huu wanaofanya sasa basi tutarajie hivi vitendo vya kuvujisha video vitazidi kuendelea"
 
Hivi wasanii mahakama wao haziwahusu?
 
Ile video ukiangalia utagundua kabisa ilitengenezwa kwa ajili ya kujitafutia followers na umaarufu,so Dudu yuko sahihi,Basata mnalea huu ujinga na tunako elekea tutakuja kuwa na watu maarufu wenye background ya uchafu tu kama huo.
 
Basata nao wanazifurahia sana hizo video za ngono,ndio mana hawajawahi kutoa reaction yoyote
 
Ila tuache unafik lile zigo co mchezo [emoji23][emoji23]
 
Hakina kijana anapenda ku trend kwenye mitandao Kama Mwijaku. Hii video Kama ni kweli alihusika nayo itakuwa ni kuongeza umaarufu ili apate kuuza sura.

Menina ni cheap slut. Huwezi kwenda faragha ukarekodi video bila wewe kukubali . Maybe anapenda ku trend Sasa trending imewatokea puani.
 
Wachukue ushauri wa Dudu baya waweza saidia kukomesha vitendo hivyo
 
Ni kuwafungia a/c za kijamii mfano Instagram,telegram,you tube📺 na 🐦 kwa miaka miwili napia kama alivyosema kufungiwa na kufanya sanaa
 
fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…