Ruyama
JF-Expert Member
- Sep 6, 2019
- 367
- 563
Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo.
Konki Master akaanza kumtukana Joseph Kusaga ndipo Konki Master akatolewa Wasafi, sasa kumbe Diamond Platnumz alikuwa anamtumia Konki Master huku yeye akijifanya mwema.
Konki Master akaanza kumtukana Joseph Kusaga ndipo Konki Master akatolewa Wasafi, sasa kumbe Diamond Platnumz alikuwa anamtumia Konki Master huku yeye akijifanya mwema.