Kwa hyo boss hamkubali chawa wa msanii?Diamond hakumtumia Dudubaya, ila Dudu alivuka mstari ikabidi Diamond achague upande wa business partner wake.
Unamtukana business partner wake alafu unaonywa hutaki maanake unataka wagombane kwa sababu yako mpita njia.
Mfano mzuri ni Babalevo, akijiona ni muhimu sana basi ajue kuwa ikifika time Diamond achague kati ya Babalevo na Babu Tale basi Diamond atamchagua Babu Tale sababu wametoka mbali na bado safari yao ni ndefu.
Sio suala la kutumiana ni ishu ya kujua mipaka yako kwenye jambo lolote. Very simple
Dudu Baya alimtukana Kusaga kwenye Instagram...pia alimtukana Professor Jamal Mustapha anaemsaidia Diamond kuendesha vipindi Wasafi Tv.Kwa hyo boss hamkubali chawa wa msanii?
Ila umasikini mbaya Sanaa.
Machawa yanateseka sana
Kwani clouds media na diamond si Wana bifu?Dudu Baya alimtukana Kusaga kwenye Instagram...pia alimtukana Professor Jamal Mustapha anaemsaidia Diamond kuendesha vipindi Wasafi Tv.
Joseph Kusaga ni mmoja ya wamiliki wa Wasafi Media.Kwani clouds media na diamond si Wana bifu?
Inakuwaje boss wa clouds awe na urafiki na diamond?
Wasafi na Clouds wana bifu ila Diamond na Kusaga ni marafiki na wanafanya biashara pamoja.Kwani clouds media na diamond si Wana bifu?
Inakuwaje boss wa clouds awe na urafiki na diamond?
Mkuu tuanzishe bifuMabifu yanawaweka mujini vijana
Hyo wafanyakazi wana bifu na rafiki wa boss waoJoseph Kusaga ni mmoja ya wamiliki wa Wasafi Media.
Kipi kinakushangaza?
NI clouds na wasafi au clouds Na diamond ndo wana bifu?Wasafi na Clouds wana bifu ila Diamond na Kusaga ni marafiki na wanafanya biashara pamoja.
Mambo ya mjini hayo inaweza isiwe rahisi kuyaelewa.
Well said kuna watu wamekuwa mpaka mabalozi wa makampuni kwa kushabikia hizi beef.Mabifu yanawaweka mujini vijana
Naweza kusema hivyo,machawa yanateseka mno kwa sababu mtu unakuwa kimbelembele kwenye jambo Fulani la boss wako Halafu kumbe boss wako anakuchora tuKwa hyo boss hamkubali chawa wa msanii?
Ila umasikini mbaya Sanaa.
Machawa yanateseka sana
Watu uwa wanajisahau, ni ujinga kuingilia ugomvi usiokuhusu. Ilifika kipindi dudu akajiona msemaji wa wasafi mara oh rayvany hana mkataba na wasafi bali sijui ana mkataba na nani... Yani akawa anaropoka ropokaDiamond hakumtumia Dudubaya, ila Dudu alivuka mstari ikabidi Diamond achague upande wa business partner wake.
Unamtukana business partner wake alafu unaonywa hutaki maanake unataka wagombane kwa sababu yako mpita njia.
Mfano mzuri ni Babalevo, akijiona ni muhimu sana basi ajue kuwa ikifika time Diamond achague kati ya Babalevo na Babu Tale basi Diamond atamchagua Babu Tale sababu wametoka mbali na bado safari yao ni ndefu.
Sio suala la kutumiana ni ishu ya kujua mipaka yako kwenye jambo lolote. Very simple
Sio suala la kutumiana ni ishu ya kujua mipaka yako kwenye jambo lolote. Very simple[emoji1533][emoji1534]Diamond hakumtumia Dudubaya, ila Dudu alivuka mstari ikabidi Diamond achague upande wa business partner wake.
Unamtukana business partner wake alafu unaonywa hutaki maanake unataka wagombane kwa sababu yako mpita njia.
Mfano mzuri ni Babalevo, akijiona ni muhimu sana basi ajue kuwa ikifika time Diamond achague kati ya Babalevo na Babu Tale basi Diamond atamchagua Babu Tale sababu wametoka mbali na bado safari yao ni ndefu.
Sio suala la kutumiana ni ishu ya kujua mipaka yako kwenye jambo lolote. Very simple
Yuko Geita Beeves pub, inaonekana kama dishi limeyumbaHuyu jamaa nimemuona jana somewhere kafulia,anakunywa konyagi tu.