Dudu Baya: Misikiti na Makanisa yajenge nje ya Makaazi ya watu

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
Dudu Baya awaasa viongozi wa kiimani na pia kuwasisitiza kujenga nyumba za ibada katika sehemu tulivu zenye nafasi ya kujenga madrasa, Sunday schools, misikiti na makanisa ambazo hazijapakana na mabaa au kumbi za muziki au stendi za mabasi, masoko n.k


View: https://m.youtube.com/watch?v=jXu_AGfnkTU
Dudu Baya anasisitiza sehemu tulivu huwakuza watoto waelewe imani yao hupenda maeneo tulivu siyo kuwajenga kuwa misikiti na makanisa kushindana, na mabaa ya pombe kupaza sauti kwakuwa nyumba hizo za ibada zimefuata kumbi hivyo kupakana na kupigizana kelele.

Dudu Baya anasema mahekalu ya ibada, misikiti na makanisa zamani yalijengwa mbali na makaazi ya watu mfano mlimani n.k hivyo utawaona waumini wakiwa ktk mavazi yao ya kanzu na nguo za kupendeza wakielekea kwenda mwendo kidogo kufikia nyumba za ibada zenye utulivu.

Dudu Baya anasema sasa hivi nyakati hizi ni vurugu tupu nyumba za ibada zinawafuata wakaazi na kupakana kuta hivyo ngoma, muziki, birthday na sherehe zingine kukumbana na harakati za kiimani wakati ilitakiwa watu wazifuate nyumba za ibada toka katika makaazi yao kwenda, huko mbali kuabudu kwa utulivu na kisha kurejea ktk makazi yao yenye shughuli zingine.
 
huyu naye ni chenga sasa.kwa ni uwanja wa azam complex
 
Tukubali kwamba kuna wakati saa mbovu husema ukweli. Hapa Ze Dudu kakita kisu kwenye mfupa.
 
Angalizo : Shambulia hoja, Usishambulie mtoa hoja.
 
Labda nimuulize huyo Dudubaya kama yupo hapa JF,hivi hapo Tegeta nyuki,kati ya kanisa na hayo maduka na mabanda ya biashara,kioo kilitangulia kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…