king Chuga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 510
- 52
unatumia gomba aka mrungi?
Hilo tatizo kitalaamu linaitwa,permanent hardon.
Hi ni wiki ya pili sasa kila nnapokula chakula cha usiku dude hailali kabisa juz nilianza kwanzia saa tatu mpaka saa sita lakini nilihisi namumza mwenzangu ikabidi niache ila bado skuwa nimechoka !
Je kuna kitu nimekula bila kujua au ni hali ya kawaida ?
nimeona username yako ina neno chuga (Arusha) maana vijana wa Arusha wanachanja miti aka gombaStumiagi wala sjawah ndugu zaid ya value tena sku moja moja na sguz kilev kingine.
Stumiagi wala sjawah ndugu zaid ya value tena sku moja moja na sguz kilev kingine.