Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
tatizo limeanza kama wiki moja na siku tano zilizopita, nilikua nikikojoa naskia maumivu kwa mbali, nikajua hii ni UTI tu, nikaenda kupima nikaambiwa sina UTI.... kesho yake asubuhi nikiwa kitandani na wife uume wangu ukiwa umesimama nikaamua kama naukamua hivi nione nini kitatoka, bad enough nikaona small amount of pus, nikamwambia wife vaa twende hospital haraka
tumefika Doctor ukasema wote tupume sijuwi ndo VDRL na UTI, mie nikakutwa na UTI but wife hakukutwa na chochote, tukaona tuchange hospital for more consultant, tukapima tena vipimo vile vile, mie nikaonekana na UTI chakuchanganya zaidi wife nae akakutwa na UTI...
tukaona twende sehemu nyingine tena, nikakutwa na UTI na wife akakutwa na UTI pia ila magonjwa mengine hakuna.... nikaona itakua UTI nikaanza Dawa za UTI,mpaka zikaisha,
Mbaya zaidi leo nikaona nikaona nikamue tena Dudu yangu nikaona bado ule usaa (pus) unatoka kidogo sana, nikaona sina mda wakupoteza nikakimbia hospital, nikamuelezea Doctor mwingine tena kila kitu, hakunipima ila ameniandikia sinda moja na madawa ya siku saba akanambia nirudi baada ya siku tatu ili aone kama kuna changes zozote.....
jamani hii inaweza kuwa ni nini? naogopa sana....(Please maneno ya kashfa siitaji, haina cha kunisaidia kaa kimya)