DUDUBAYA Alalama!

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
...nyimbo zenyewe uzushi mtupu!!..check hiyo."..napenda manundu sipendi vijipu..."

Msanii wa Mziki DuduBaya Ameitumia BABKUBWA.COM Ujumbe Kwa njia Ya simu ukisema

TOKA MWAKA 2000 MPAKA MWAKA 2003 MSANII ALIKUA ANACHUKUA SHILINGI 100/= KWA KILA TAPE MOJA AMBAYO ILIUZWA 1,200/= MWAKA 2004 MPAKA SASA MSANII ANAPOKEA SHILINGI 200/=, KATIKA TAPE INAYOUZWA SHILINGI 1,500/=, JE KWA NINI BIDHAA YA MZIKI HUWA HAIPANDI BEI KAMA BIDHAA ZINGINE? NADILIKI KUIFANANISHA BIDHAA YA MZIKI KAMA BIASHARA YA MUUZA GENGE,NDIZI,MIWA, MAHINDI NA N.K. KIUKWELI IT'S TOUCHING.
From😀UDUBAYA

wakiitwa wanamuziki DUDUBAYA atasimama? ana body wkness anaglia hizo arms haziko propotional na other parts. Anyanyue vyuma vyake vizuri.
 
wakiitwa wanamuziki DUDUBAYA atasimama? ana body wkness anaglia hizo arms haziko propotional na other parts. Anyanyue vyuma vyake vizuri.

Hehehe Nguli bana sasa mikono ndo inaimba?
Huyu ni mwanamziki wa Ubongo fleva sio bondia au mcheza mieleka.
 
wakiitwa wanamuziki DUDUBAYA atasimama? ana body wkness anaglia hizo arms haziko propotional na other parts. Anyanyue vyuma vyake vizuri.

Nimeshasema watanzania walio wengi wana chuki binafsi sasa mmeona wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…