Dudubaya aomba radhi rasmi kutokana na maneno ya kejeli aliyompa Marehemu Ruge

Dudubaya aomba radhi rasmi kutokana na maneno ya kejeli aliyompa Marehemu Ruge

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godfrey Willium Ngelela a.k.a Dudubaya amepost video akiwaomba radhi watanzania wote, baraza la sanaa Tanzania (BASATA) pamoja na familia ya Ruge.

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Ni vema alivyofanya coz hakuna kosa lisilo na msamaha.Keshasamehewa sasa achape kazi.
 
Mi nachekaga anavyosemaga I am, Konki, Konki, Konki kichwa kama anakirudisha nyuma hivi. Hahahaha.
Ila nini, asitufanye wajinga angesubiri kwanza sikukuu ya baba ake ipite ndo aombe msamaha.
Una matusi ya jumla jumla mkuu! Hasa hiyo para ya mwisho! Lol
 
Ndivo anavyosherehekea sikuku yao, sio mbaya leo ni siku yake.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godfrey Willium Ngelela a.k.a Dudubaya amepost video akiwaomba radhi watanzania wote, baraza la sanaa Tanzania (BASATA) pamoja na familia ya Ruge.

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 1059752
Hafai huyu jamaa kuna video inatembea anamtukana Msanii Shetta matusi ya nguoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom