Una matusi ya jumla jumla mkuu! Hasa hiyo para ya mwisho! LolMi nachekaga anavyosemaga I am, Konki, Konki, Konki kichwa kama anakirudisha nyuma hivi. Hahahaha.
Ila nini, asitufanye wajinga angesubiri kwanza sikukuu ya baba ake ipite ndo aombe msamaha.
Achape kazi ipi? Ulevi mbwa, kutukana watu na kuvuta bangi ndio kuchapa kazi!?Ni vema alivyofanya coz hakuna kosa lisilo na msamaha.Keshasamehewa sasa achape kazi.
Atakuwa kabanwa koronanihiii ....Konki kaufyata mkia maskini!
Hakika itakua ni hivyoBila shaka kuomba kwake msamaha itakua ni moja ya masharti aliyopewa na Basata ili afunguliwe usajili wake.
Hafai huyu jamaa kuna video inatembea anamtukana Msanii Shetta matusi ya nguoni.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Godfrey Willium Ngelela a.k.a Dudubaya amepost video akiwaomba radhi watanzania wote, baraza la sanaa Tanzania (BASATA) pamoja na familia ya Ruge.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1059752