Nilikuwa nafuatilia interview ya dudubaya kwenye kipindi cha mkasi s09e09 dudubaya kanifurahisha sana jamaa,hakika huyu ni stress free zone,yupo free sana kuelezea hisia zake huyu jamaa,hakika binafsi nimekuwa mshabiki wako wa damu,hauna unafiki kabisa DUDU...safi sana mkuu.
Nyie wasukuma kweli washamba hivi kweli unapigwa kofi na mwanaume mwenzako na unamkenulia macho big no! Mwambie aje na huku Arusha aje aoneshe ubabe wake huku tumrudishe dar na skin tait!Huyu jamaa wewe humjui vizuri waulize maderevatax wa mwanza hotel watakuambia ana tabia mbovu sana halafu ni mbabe kupigwa makofi kuko nje tu
huko ni mashujaa wa bangi, mirungi, na viroba..wale jamaa wakipiga bangi na viroba usijaribu kuwasogelea, coz wanaishi kwa nguvu za stimu za bangi na viroba ni hatari sana..Nyie wasukuma kweli washamba hivi kweli unapigwa kofi na mwanaume mwenzako na unamkenulia macho big no! Mwambie aje na huku Arusha aje aoneshe ubabe wake huku tumrudishe dar na skin tait!
Dudubaya huwa hafichi kitu kuhusiana na maisha yake.Nilikuwa nafuatilia interview ya dudubaya kwenye kipindi cha mkasi s09e09 dudubaya kanifurahisha sana jamaa,hakika huyu ni stress free zone,yupo free sana kuelezea hisia zake huyu jamaa,hakika binafsi nimekuwa mshabiki wako wa damu,hauna unafiki kabisa DUDU...safi sana mkuu.