Labda Wasimamizi waamue kutekeleza ile Sentensi ya mkubwa kwamba " Nikuteue kuwa mkurugenzi harafu unamtangaza mgombea wa upinzani eti kashinda" hiyo isipokuwa applicable upinzani itanyakuwa majimbo mengi tuRoboti za mitandaoni zinashida Sana, ziliwahi kukubaliana mandamano makubwa yaliyoitishwa na roboti Mange, lakini siku ya siku roboti zikayeyuka
Mnajifanya kuwa roboti mnapokuwa mitandaoni ili Hali huku uraiani mnakubaliana kwamba wenzenu wanakazi ngumu na haijulikani kama kuna angalau mbunge mmoja wa Tu upinzani atapenye kuwa mbunge
Mkuu, mkuu, mkuu, huu sio Wakati wa kutiana moyo, tusemeni ukweli ili mioyo yetu ipone, upinzani unahali mbaya ambayo haijawai Kutokea Wakati wote wa mfumo wa vyama vingi, Okey, Ya Mungu ni mengiLabda Wasimamizi waamue kutekeleza ile Sentensi ya mkubwa kwamba " Nikuteue kuwa mkurugenzi harafu unamtangaza mgombea wa upinzani eti kashinda" hiyo isipokuwa applicable upinzani itanyakuwa majimbo mengi tu