M MwendaOmo JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 774 Reaction score 723 Jan 14, 2015 #1 Dufa mpararo inamaana, kuogelea kunakokufanya uparare. Mtoto ametumwa na mamake dukani kisha yeye aenda dufa mpararo. Baadaye, anasahau kile alichokuwa ametumwa. Video hiii haina sauti kwa sekunde kumi za kwanza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Dufa mpararo inamaana, kuogelea kunakokufanya uparare. Mtoto ametumwa na mamake dukani kisha yeye aenda dufa mpararo. Baadaye, anasahau kile alichokuwa ametumwa. Video hiii haina sauti kwa sekunde kumi za kwanza