Duh! ALOEVERA

Tugutuke

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
501
Reaction score
166
Jamani ee.. Hivi hili neno Alovera limekuwa kigezo cha makampuni ya bidhaa kupata fedha nyingi? Yaani mpaka naboreka sasa,
utakuta Dawa ya Meno,Mafuta ya kujipaka,Sabuni,Dawa za nywele,Vidonge vya kumeza n.k. Kila anayetaka kukuuzia anakwambia ni ALOEVERA!
Basi siku si nyingi zitakuja SIMU za ALOEVERA.
lol
 
alovera imethibitishwa ndio mmea unaotibu magonjwa meng mno kwa pamoja inakadiriwa zaid ya magonjwa 300 na kuhusu makampuni mengi yanatengeneza alovera kweli yapo mengi na alovera zpo specieses zaid ya 285 zpo ambazo ni bora zaidi na ubora tofauti kwa kukasaidia nenda kwenye googles andika the best company in alovera utaona ipi kampun nzuri hapo mwenyewe utaamua
 

Kama Alovera ingekuwa inatibu magonjwa yote kama tunavyoambiwa basi Tanzania tusingekuwa na wagonjwa na hata mgomo wa madaktari usingetutisha.
 
Huko uliko hazijazinduliwa? Hii simu yangu alovera.
 
ila nikweli huu mmea unatibu.mm nnlikua nashilingi mkononi ambayo inahama hama kilamara nakuanza upya.nilipaka nikiwa shule kama utan ule mmea wenyewe nikapaka yale maji yake leo nnamwaka wa nane sijaona ile shilingi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…