Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kwenye karatasi tu ila wabishi wanapeleka kama kawa na kwa sasa hivyo vikwazo vilishatolewaMahindi ya Tz hayauzwi tena Kenya. Jiwe alitoa agizo. Hata hilo hujui, wewe ni mrundi pia?
Itakuwa unaishi vijijini kule maeneo ya Mkuranga au Kolomije. Tuulize sisi ambao tupo mipakani. Hata viwanda vya kutengeneza vyakula vya kuku na mifugo, ambavyo vipo kwenye barabara ya Nairobi-Namanga vinapata supply yao ya mahindi kutoka U.G. Yimekula kwenu nyinyi wakulima wa jasho jingi na majembe.Kwenye karatasi tu ila wabishi wanapeleka kama kawa na kwa sasa hivyo vikwazo vilishatolewa
Imekula wapi wewe wakati huku wafugaji ndo wanakula maisha vyakula vya mifugo vinakua vya kumwaga na we unaweza ukawa mpakani ila kipofu sio lazima uletewe mahindi uambiwe haya yametoka tz watu wanapeleka ila usitake kujua zaidi wanapelekaje.........sehem za michezo mitamu ni sirari na tarakea we kaa namanga kula vumbi tuItakuwa unaishi vijijini kule maeneo ya Mkuranga au Kolomije. Tuulize sisi ambao tupo mipakani. Hata viwanda vya kutengeneza vyakula vya kuku na mifugo, ambavyo vipo kwenye barabara ya Nairobi-Namanga vinapata supply yao ya mahindi kutoka U.G. Yimekula kwenu nyinyi wakulima wa jasho jingi na majembe.
Kuna tofauti kubwa kati ya ukulima na kilimo biashara. Mkulima anayejielewa huwa anapeleka mazao yake kwenye soko ambalo litamletea faida kubwa iwezekanavyo. Sirari, Tarakea kote nakufahamu vizuri wewe endelea kukariri ukiwa huko Mkuranga. Sasa hivi mbao ndizo zinavunwa na wakenya kutoka shamba la bibi. Hii ni baada ya marufuku ya kukata miti kutekelezwa Kenya.Imekula wapi wewe wakati huku wafugaji ndo wanakula maisha vyakula vya mifugo vinakua vya kumwaga na we unaweza ukawa mpakani ila kipofu sio lazima uletewe mahindi uambiwe haya yametoka tz watu wanapeleka ila usitake kujua zaidi wanapelekaje.........sehem za michezo mitamu ni sirari na tarakea we kaa namanga kula vumbi tu
Agizo lilishakuwa reversed na prime minister bungeni, mwezi unakata sasaMahindi ya Tz hayauzwi tena Kenya. Jiwe alitoa agizo. Hata hilo hujui, wewe ni mrundi pia?
Huyu yupo kwenye fulusuti lake anatupigia kelele tu inawezekana huko kote anapoongelea anapaona tu kwenye ramani ya infinix yakeAgizo lilishakuwa reversed na prime minister bungeni, mwezi unakata sasa
Serikali yaondoa zuio kuuza mazao nje ya NchiKuna tofauti kubwa kati ya ukulima na kilimo biashara. Mkulima anayejielewa huwa anapeleka mazao yake kwenye soko ambalo litamletea faida kubwa iwezekanavyo. Sirari, Tarakea kote nakufahamu vizuri wewe endelea kukariri ukiwa huko Mkuranga. Sasa hivi mbao ndizo zinavunwa na wakenya kutoka shamba la bibi. Hii ni baada ya marufuku ya kukata miti kutekelezwa Kenya.
Mkuu mbona hili halijaanza leo?sma tu serikali imeamua kulitangaza rasmi!!tena sehemu kama wilaya ya ngara hawa jamaa wanafanya kazi kama mashine tena kwa ujira kidogo sana na matajiri wengi sana wanafaidika kupitia hawa jamaa kwani utakuta mtu ana ng'ombe 1000!! Warundi ndio wachungaji ,na we mtu analima ekali moja kwa 50,000!!! Daa hao jama ni ma bulldozer ,ukienda huko katavi ,tabora ndio walimaji wakubwa wa tumbaku kwnye mashamba!!Tusifurahie, kwa jinsi tulivyo mazuzu, Hawa Leo wanakuja kama vibarua Na baada ya muda mfupi wao ndio watakuwa wamiliki wa ardhi
Hahaha infinix sio? Kwetu tunavaa shuka sio suti. Eroo tumeelewana long'ui?Huyu yupo kwenye fulusuti lake anatupigia kelele tu inawezekana huko kote anapoongelea anapaona tu kwenye ramani ya infinix yake
Basi itakuwa wanaingiza vikwazo vingine. Biashara kwenye mipaka na Tz imedorora kweli kweli. Sijaelewa shida ipo wapi lakini upande wa Kenya kila kitu kipo shwari.Agizo lilishakuwa reversed na prime minister bungeni, mwezi unakata sasa
Sasa atakuja na shamba kutoka Burundi ?Haijalishi, mwisho wa siku wao watalima hata kwa kujificha kwa kutumia mgongo wa neno vibarua, hiyo ni lugha ya kuficha aibu.
Hawa wanakuja kufanya vibarua, na si ufikirivyo ww,yaelekea akili zako unatumia kuvukia barabara tu.....?Hatua hii ni bora maana ardhi yote hiyo imewashinda kuilima, full majungu, mdebwedo na dezo dezo tu....
---------------------------------------------------------
Idara ya Uhamiaji nchini imeweka utaratibu wa kutoa kibali maalum kwa raia wa Burundi ambao wanataka kuja nchini kwa ajili ya kufanya shughuli za kilimo ikiwa ni moja ya nia za kupunguza raia wa nchi hiyo ambao huingia nchini kinyemela hususani katika mikoa ya Kigoma na Tabora kwa ajili ya kufanya kazi za kilimo kama vibarua.
Mpango huo umetangazwa na Kamishna Jenerali wa uhamiaji nchini Dk.Anna Makakala mwishoni mwa ziara yake iliyomfikisha katika wilaya zote na katika maeneo ya mpaka na nchi jirani mkoani Kigoma ambapo amesema vibali hivyo vya miezi mitatu vitawezesha raia hao kutambuliwa na serikali kupata fedha na kutambua wako wapi na idadi yao.
Kwa upande wao baadhi ya wananchi wamesema uamuzi huo wa idara ya uhamiaji utasadia kupunguza uhalifu na kuongeza tija katika kilimo pamoja na kujenga mahusiano mazuri na nchi jirani ya burundi ambayo raia wake wanaongoza kwa kuja nchini kufanya vibarua bila ya kibali na hivyo kuongeza idadi ya wahamiaji haramu.
Uhamiaji kutoa vibali maalum kwa Warundi.