Elections 2010 Duh, CCM wanachakachua hadi picha za Kampeni - kweli tapeli ni tapeli tu !

Mag3

Platinum Member
Joined
May 31, 2008
Posts
13,413
Reaction score
23,592
 
Ndiyo zao...niliona mkutano wa juzi alijaza wanafunzi hata kama angejaza watu, tujiulize hivi ni watanzania wangapi wanapenda mziki na hawana nafasi ya kuwaona wasaani live je vipi leo wakigundua kuna nafasi ya kuwaona bure...
 
hahahaaaaaaaaa.....Jomba umegundua kituko hicho!
Hapo mchakacHuaji mkuu ni FMES!
 
Nahisi huo mkutano ni wa dar es salaam.
Mkuu hebu tubandikie hapa picha nyinginez LOL.
inabidi hii ishu iende public ili watu wajue na waelimike wasidanganyike zaidi
 
Ndiyo zao...niliona mkutano wa juzi alijaza wanafunzi hata kama angejaza watu, tujiulize hivi ni watanzania wangapi wanapenda mziki na hawana nafasi ya kuwaona wasaani live je vipi leo wakigundua kuna nafasi ya kuwaona bure...

Ha ha ha Halafu walisikia Rais wao Alianguka Dar, sasa na wao wameenda kujaribu bahati ya kuona Rais Akianguka
 
 
shame, wameshindwa hata kuziadobelize,,,,,

 
Wenye akili timamu wanazungumzia "strategy" siyo picha za kujaza watu na online polls zisizokuwa na security features zozote za kuzuia multiple voting. Lakini looks like wenye akili timamu wako wachache kwenye ukumbi huu ndiyo maana wanaishia kujadili picha. Sasa matokeo ya uchaguzi yakitoka hapo ndipo watakapojua kuwa kujisifia pekee na kujaza mabandiko kwenye JF haisadii katika kuleta ushindi kwenye uchaguzi.
 
ccm, nyie endeleeni tu, kuchakachua mwisho mtaona.
 

Hapo kwenye red. Nakubaliana na wewe kabisa. Naamini ni wewe tu mwenye akili timamu ukumbi wote huu. Pumbavu.
 
 
Kumbe FMES alibwagwa!!!!
Ndo maana alipotea humu...

Hatuangalii sura wala nini jamaa hawana mvuto tena! Slaa kiboko yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…