asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.unaruhusiwa kuwa na 'no strings attached' partners zaidi ya mmoja?
Na ruksa wao kufahamiana?
Na wakifahamiana hawakusulubu kuwa unawacheat?
hapo moyo kuuma ni ikitokea sasa umeanza kudevelop feelings to each other.achilia mbali risk ya kiafya, moyo unaweza hili??
Leo mko wote, kesho yuko busy na mwingine na hutakiwi kuuliza.
kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.
duh, mfano nina 'no strings' mmoja.
Afu nikawa mahali na mtu mwingine.
Bahati mbaya akanikuta hiyo sehemu. Siku nikikutana naye in private ana haki ya kuniuliza kuwa niliyekuwa naye ni nani?
kwenye no string attached hilo neno kucheat halipo ,kwasababu hakuna mtu mwenye hati miliki ya mwingine ....hapo watu wapo free ,they are just together to have funny.
ha ha ha ha ha ha! hii ni sawa sawa na ile hapa story tu hata ukikesha kula kwenu chauro.duh si mchezo mambo ya mahusiano magumu sana.....ina maana hii inaitwaje sasa asakute same,kushare kwa afya ama.
inawezekana sana kongosho (kwani wale nyumba ndogo wanaweza vp kuwa nyumba ndogo huku wakijua nyumbakubwa zipo?)inawezekana kweli?
Katika uhalisia wa maisha?
Labda, kuna muda specific wa mahusiano ya aina hii?
Maana nahisi mkimaliza mwaka lazima kuna kitu kitaanza kuwepo, inakuwaje?
ha ha ha ha, usinivunje mbavu bure.
Inawezekana hii?
Kama shida yako ni ngono tu! Ila washahili bada ya mda anaanza kua possessive.
hahahaa hapo kwenye red,ni kweli waswahili wengi hatuwezi hii kitu ya NSA.
it's possible, especially when neither partner is interested in commitment, you just remain f..k buddies,kuhusu health risk it's obvious if you are f buddies you have to always protect yourself. Moyo hauumi kwa sababu mmekubaliana hivyo kwa hiyo hata akiwa na mtu ukajua haiumi kabisaaaa.
utaachaje kuchagua wala kubagua na hali mtu wamvulia nguo?
hahahaaaa lol naomba kuuliza na mnisaidie ivi kuna utamu usiouma au ni akili zetu za mbayuwayu tunazojivika!!!!!!!!