Maswala ya imani za kishirikina hata Africa nzima yapo tuseme tu wewe umechagua mojawapo tena kwa lengo la kuchafua.Na kwa habari nzuri ni kwamba hao waganga hawana ubaguzi hata wewe ukienda wanakuhudumiaThe Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]
Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
Maswala ya imani za kishirikina hata Africa nzima yapo tuseme tu wewe umechagua mojawapo tena kwa lengo la kuchafua.Na kwa habari nzuri ni kwamba hao waganga hawana ubaguzi hata wewe ukienda wanakuhudumia
[HASHTAG]#uchawi[/HASHTAG] uache na wewe.
The Citizen
Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
Povu ya nini, ukweli unang'ata.....maumivuHakuna Binadamu mwenye akili hata za kawaida anayeweza kuandika ulivyoandika, kumbuka watu wenye wenye ulemavu wa ngozi ni Binadamu kama wewe na mimi na hawana kosa lolote kuzaliwa hivyo, hivyo wewe kuleta utani na mzaha kwenye jambo kama hili ni beyond imagination!
Dah! Hivi wewe ni jinsia gani kwanza maana mada umeileta kiumbeaumbea.Acha uoga wewe ndio nyie mnaokimbia mendemie uko siendi, watoto wasio na hatia albino wanakufa mikononi ya hawa mabwege na watanzania wenye kuamini uchawi kama wewe!!
The CitizenWamemkamata Mshana Jr duh!
Kama kukutwa na fuvu la binadamu ushirikina basi wazungu wangeongoza kwa ushirikina.The Citizen
20 hrs ·
Police in Kibiti District are holding two people including a witchdoctor after finding them with a human skull [HASHTAG]#TheCitizenToday[/HASHTAG]
Tanzania bwana. ushirikini na nyie ni kitu kimoja. Kuaa na kula albino hamshindwi na haya ya kibiti hadi hapa kenya na mabango yenu ya waganga marufu tokea tanzania kuzagaa mijini!!!!
The CitizenKama kukutwa na fuvu la binadamu ushirikina basi wazungu wangeongoza kwa ushirikina.
View attachment 504466
In case watakuwa wamekosea kufuata taratibu za kumiliki. Njaa na utapeli wao umewaponza.