Duh! hawa Watanzania wangewamaliza vijana wetu 200,000 kwa madawa ya kulevya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sheria zitungwe kabisa za kuwanyonga mijitu inayoleta madawa mengi kiasi hiki. Hata rais Magufuli alishatoa ruhusa kwamba Mtanzania yeyote atakayekamatwa na madawa anyongwe huko huko aliko.

Watanzania hawa wamekamatwa na madawa mengi sana yenye thamani ya 30m Kshs, ambayo yangetumika na watu 200,000

Naona mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameshindwa na vita dhidi ya hawa watu, alifyatuka fyatuka kipindi fulani halafu ghafla akazima.
--------------------------------------------------




The three Tanzanians arrested in Kwale county, with heroin worth Sh30 million, at Mombasa police headquarters, March 17, 2018. /ERNEST CORNEL

The 10.022kg heroin intercepted in Kwale on Thursday would have been consumed by 200,000 Mombasa residents, police have said.
Coast Regional Coordinator Benard Leparmarai added on Saturday that the effects of the Sh30 million drugs would have been devastating.

Leparmarai said the substance, whose value dropped by Sh60 million from earlier estimates, was destined for the Coastal county.

It was from Tanzania, he said, adding that in the end, Sh200,000 would have been used to rehabilitate each user.

“Who has such money? No government, no county, no person can rehabilitate 200,000 people," he said.

“Two hundred thousand people are [too many] yet we know those who benefit are a few fellows ... cartels ... at the expense of public health."


Some of the heroin worth Sh30 million that was intercepted in Kwale county is displaced at the police headquarters in Mombasa, March 17, 2018. /ERNEST CORNEL

The Regional Coordinator spoke at the police headquarters in Mombasa when three suspects linked to the drug trafficking were paraded.

He said they were arrested at a hotel and placed in their custody.

[VIDEO] Sh30 million heroin from Tanzania would have ruined 200,000 lives – police
 
Embu acha kumtaja RC kama vile kwanza hao walitokea mkoani kwake.

Pambana na yenu huko.. mmewakamata na hao mapolisi wapunguze wauze pia nyuma ya pazia..
 
Embu acha kumtaja RC kama vile kwanza hao walitokea mkoani kwake.

Pambana na yenu huko.. mmewakamata na hao mapolisi wapunguze wauze pia nyuma ya pazia..

Hehehe mbona umewahi kumtetea RC, hii mijitu inatoka huko huko kwake, sasa wapi kwengine Tanzania nje ya Dar. Nilipenda sana alivyojituma kipindi alianza vita dhidi ya hawa, ila sema naye alichemsha maana ndio kipindi hicho alianza kuvamia vituo vya TV na kuwazingua akina SHILAWADU.
 
Nyongeni kabisa hao msicheke nao

Ndo maana namkubali Magufuli yupo straightforward, alisema sisi tukishika sijui kuku sijui nini tunamaliza na nyie malizeni bila huruma wala swalia mtume

Wale watanzania walioenda kimagendo Msumbiji Kisha kutiwa mbaroni, Magu alisema hatoi msaada wowote kwa wasio fuata taratibu kuingia nchi za watu. Sijui waliishia wapi. Hivi ndo inavyotakiwa kuwa, people should face consequences of their own actions.
 
But this is the true spirit of a hustler man. Huo mzigo ungefika salama hao jamaa Leo hii wangekuwa wamepunguza ukali wa maisha sana.

Sometimes ili ufanikiwe maishani you need to take bigger risk..coz the bigger the risk the higher the return and vice versa.

Hata Mimi nikipewa such deal ya kupeleka such amount nakaza kiume nachukua deal...muhimu ni kufanya calculated risk zikikaa sawa naupush mzigo hima.

Nilimsikiaga 50 cent anawamentor newbies wa hii drug business kwamba show no love...love will get you killed.
 
Wapigeni risasi za kichwa ila hayo madawa yatakuwa yalikuwa mengi zaidi mipolisi ya Kenya itakuwa isha ficha mengine from tz
 
Kazi ya dawa za kulevya sasa hivi haina tofauti na espionage, unaifanya huku ukijua ukikamatwa ndo mwisho wako!


Wapeni wanachostahili hao maana waliamua hivyo.
 
Hawa ni watu wa kiwango cha chini sana wakubwa wao ndio wanafaaa sasa kukamatwa.
 
Huwa napenda maandishi yako ila kwa hili umepuyanga mzee sasa naanza kukujua upande wa pili wa akili yako
 
Tena hizo sheria ziwahusu na wenye viwanda vya sigara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…