Duh hii kali

Duh hii kali

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Jamaa kamaind demu bar!
Demu kaenda uani na jamaa kamfuata na kukaa mlangoni akimsubiri msalani
Demu katoka na kukuta jamaa amesimama hapo mlangoni
Kamuulizi vp mbona upo hapa
Jamaa akajibu " Nimezimia harufu ya haja kubwa aliyokua akiitoa"
Hivi haya ni mapenzi au ufedhuli?
 
Siamfungie kwenye kiberiti atembee nacho hicho kinyesi cha mpenzi wake??
 
kuna hatari ........ mpaka imefika stage hii😛uke:
 
Hapa umetupiga changa la macho sababu alimpenda akiwa hajakwenda msalani sasa hiyo harufu aliijuaje wakati yeye alitoka kumfuata huko ili aongee nae? Hapo alipoulizwa kulikoni akawa domo zege kashindwa kumwaga sera ikabidi achomee hiyo habari ya harufu ya kinyesi we hakuna cha harufu bwana aaahhhh wewe taratibu
 
Kimbweka kama vile niliiona kule kwenye jokes au sikumbuki vizuri mie
 
Back
Top Bottom