Jambo la kwanza kuhusu wananchi kutaka kumuua mkuu wa wilaya ni jambo la kusikitisha sana na ni la aibu kubwa,lazima tufahamu kwamba tuna nchi yenye katiba na sheria na mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo tunajivunia,kama mkuu huyo inavyodaiwa kuwa alijibu maneno ya kuudhi wananchi au kuwakejeli basi ingefaa wananchi hao wajitokeze kwa pamoja na kufanya kampeini kabambe ya kutaka mkuu huyo aondolewe katika wilaya hiyo au aombe radhi na baadae wasimamishe kesi na kama amekuwa mkuu kwa kuchaguliwa na wananchi basi kipindi chake kikimalizika wasimchaguwe tena,lakini sio kutafuta mbinu za kumuuwa,hiyo sio hatua ya kibusara na kidemokrasia, kama kila kiongozi akiwakosea wananchi anauliwa basi hapatakuwa na kiongozi tena nchini. Au mnasemaje wazee?
Mkuu Ulichosema ndicho hasa kilitakiwa kufanyika, but hao wananchi si vichaa wala wajinga. Unapokuwa na taifa ambalo limepoteza uwajibikaji then unatakiwa uyategemee haya na mengine mengi! si wameona OCD aliyekatwa kule Serengeti kwa wizi wa madini akibadilishiwa kituo cha kazi badala ya kushtakiwa?? au unadhani hawakuona Madaktari waliotaka waziri wa afya awajibishwe na kushindwa kutimiza wajibu wake akilindwa na wakubwa kwa nguvu zote. Haya ni baadhi ya mambo yanayowapa wananchi hasira na kuchukua sheria mikononi mwao kitu ambacho si sawa. ILI kuyakomesha haya Serikali ina wajibu wa kuamka na kutenda haki pia kurudisha ile dhana ya uwajibikaji.Jambo la kwanza kuhusu wananchi kutaka kumuua mkuu wa wilaya ni jambo la kusikitisha sana na ni la aibu kubwa,lazima tufahamu kwamba tuna nchi yenye katiba na sheria na mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo tunajivunia,kama mkuu huyo inavyodaiwa kuwa alijibu maneno ya kuudhi wananchi au kuwakejeli basi ingefaa wananchi hao wajitokeze kwa pamoja na kufanya kampeini kabambe ya kutaka mkuu huyo aondolewe katika wilaya hiyo au aombe radhi na baadae wasimamishe kesi na kama amekuwa mkuu kwa kuchaguliwa na wananchi basi kipindi chake kikimalizika wasimchaguwe tena,lakini sio kutafuta mbinu za kumuuwa,hiyo sio hatua ya kibusara na kidemokrasia, kama kila kiongozi akiwakosea wananchi anauliwa basi hapatakuwa na kiongozi tena nchini. Au mnasemaje wazee?
Mkuu Ulichosema ndicho hasa kilitakiwa kufanyika, but hao wananchi si vichaa wala wajinga. Unapokuwa na taifa ambalo limepoteza uwajibikaji then unatakiwa uyategemee haya na mengine mengi! si wameona OCD aliyekatwa kule Serengeti kwa wizi wa madini akibadilishiwa kituo cha kazi badala ya kushtakiwa?? au unadhani hawakuona Madaktari waliotaka waziri wa afya awajibishwe na kushindwa kutimiza wajibu wake akilindwa na wakubwa kwa nguvu zote. Haya ni baadhi ya mambo yanayowapa wananchi hasira na kuchukua sheria mikononi mwao kitu ambacho si sawa. ILI kuyakomesha haya Serikali ina wajibu wa kuamka na kutenda haki pia kurudisha ile dhana ya uwajibikaji.
Laiti Hawa Watu wangejua ungekuta wamemchagua Mbunge ambaye angewatetea Maslahi Yao!! Poa Mchelea Mwana Kulia Mwisho Hulia yeye!! Nawapa pole ila next Time wasifanye Makosa!!
Kwa taarifa nilizonazo kutoka Tandahimba ni kwamba wananchi walikusudia
kumuua mkuu wa wilaya hiyo Bi Hasna Mwilima kutokana na majibu mabovu
aliyowajibu wakulima hao walipotaka kujua kuhusu malipo ya korosho zao
walizokopwa.
Zoezi hilo lilifeli baada ya mashine ambayo walikuwa wanatumia kukatia miti
na kuziba barabara kushindwa kufanya kazi kutokana na kuharibika baada ya
kufanya kazi muda mrefu. Lengo lilikuwa ni kukata mwembe mkubwa na kuziba
barabara inayotoka kwa bosi huyo wa wilaya ili waweze kumshambulia vizuri.
Sijui tunaelekea wapi na KISIWA CHETU CHA AMANI.
.Ndo faida ya kuwasukuma watu mpaka mwisho. People have been pushed to the edge, and they have nothing to loose anymore! Tutaona mengi!
wakati wa uchaguzi Tandahimba alishinda mbunge wa CUF,lakini kama mjuavyo "mambo ya kuchakachua"akatangazwa mbunge CCM.Tena kulitokea vurumai lisilo la kawaida,hadi polisi toka wilaya nyingine walipelekwa kusaidia kutuliza vurugu,na huyohuyo mkuu wa wlilaya ikabidi aende kujificha sehemu.ndo hao ukiwauliza mlimchagua nan watakwambia ccm haraf wanalalamika vp mbunge wao hajasema chochote
a cornered mouse can bite a cat.
Wahenga walisema .... Ukimfukuza sana Mjusi mwishoni hugeuka nyoka
ndo hao ukiwauliza mlimchagua nan watakwambia ccm haraf wanalalamika vp mbunge wao hajasema chochote