Duh! Imebidi albino wazikwe ndani ya nyumba ili wasifukuliwe Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hizi imani za kiajabu zinaikwamisha Afrika mpaka tunaonekana mazombi ya ovyo, iliwabidi wazazi kuzika maiti ya mtoto wa miaka ambaye alikua na ulemavu wa ngozi ili kumlinda kutokana na mazombi yanayozunguka kwenye makaburini Tanzania yakifukua albino ili yawe matajiri.

Mbona msitumie nguvu nyingi hizo kulima au kuchimba migodini, utajiri upi utakuja kwa kupitia mapungufu ya chembechembe zinazoitwa melanin kwa kisayansi, ama labda kisa albino anakaa mzungu, hivyo ijitu linaona likitumia viungo vyake litatajirika kama wazungu, hivi mnajua kuna wazungu fukara dunia hii.

Aibu tu yaani...... Taarifa kama hizi zikifiakianga tovuti kama the Guardian kule Ulaya halafu usome jamaa wanavyochangia kwa matusi dhidi ya Waafrika, unahisi kuwa shithole kabisa.
-----------------------------------------

By Peter Saramba

Mwanza — People with albinism plan to go to court in protest against a tendency whereby some families tend to bury dead bodies of people with albinism in rooms within their houses.

Such a tendency, according to the director for advocacy for the Joseph Torner Foundation Europe (JTFE), Mr Joseph Torner, was a violation of the rights of people with albinism.

"Burying people with albinism inside the room is just like any other form of stigma. It is a violation of their fundamental social rights for it is like treating them differently from other social groups... We are going to court to challenge this challenge," he said.

JTFE's statement comes within few days after Richard Erasto's family in Bukombe district in Geita region reportedly buried their three years old child, Happy Richard (3) inside their house.

This, they said, was a deliberate move to avoid evil-minded people from exhuming her body and use it for the superstitious beliefs.

According to Mr Erasto and his wife, Pelisi Magambo, the family reached the decision on March 27 after failing to afford paying at least Sh170,000 for the concrete grave.
Tanzania: Group to Go to Court As Family Buries Girl With Albinism Inside the House
 
Albinos in Tanzania are never at peace even in their graves? Haya ndio madhara ya elimu duni. Magufuli's govt should invest more towards education of its Citizenry.
 
Wachawi...
 
Back
Top Bottom