Duh ivi kumbe alikiba ana ngoma mpya?

Duh ivi kumbe alikiba ana ngoma mpya?

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,109
Reaction score
5,284
Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma

Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu

Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui

Duh noma kweli

Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui
 
Malaya B Una Mambo Kweli
Huo Wimbo Wenyewe Upi? Je Kama Ni Wa Zamani We Unasema Mpya? Sema Unaitwaje?
 
Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma

Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu

Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui

Duh noma kweli

Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui

Ukitaka kupata hasara kwenye biashara ya muziki basi fanya biashara inaitwa “Alikiba”
Alikiba ni biashara isiyobebeka yani utakacho ambilia ni kusema yoooooooh
 
wale vijana wake walipata ka show Iringa,waulize mapromota hasara waliyokutana nayo😁 yan la kuvunda halijawahi kuwa na ubani
 
Jana nlikuwa sehem wakawa wameweka channel ya TRACE mziki...top 30 nikaona namba 25 nyimbo ya alikiba inaitwa MBIO sijui ndio hiyo au la. Jamaa hachangamki kushindana na mwenzie kbs
 
kumbe ni kushindana sasa
 
Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma

Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu

Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui

Duh noma kweli

Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui
Nafikiri Sasa hiv anapata sapoti ndogo Sana ya mashabiki ndo maana ngoma zake hazifanyi vizur + nyota pia inachangia
 
Kiba ana maringo mabaya. Kauli yake ya juzi kuhusu sapoti ya fans wake ilivunja moyo wengi,hivyo kapotezewa mazima
 
Back
Top Bottom