Malaya B
HahahaYaani hilo jina hata mimi huwa najikuta nishalisoma hivyo sijui kwanini?[emoji85][emoji85][emoji85]
Jana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma
Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu
Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui
Duh noma kweli
Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui
ngoma gan hyo mpyaUkitaka kupata hasara kwenye biashara ya muziki basi fanya biashara inaitwa “Alikiba”
Alikiba ni biashara isiyobebeka yani utakacho ambilia ni kusema yoooooooh
wale vijana wake walipata ka show Iringa,waulize mapromota hasara waliyokutana nayo😁 yan la kuvunda halijawahi kuwa na ubaniUkitaka kupata hasara kwenye biashara ya muziki basi fanya biashara inaitwa “Alikiba”
Alikiba ni biashara isiyobebeka yani utakacho ambilia ni kusema yoooooooh
kumbe ni kushindana sasaJana nlikuwa sehem wakawa wameweka channel ya TRACE mziki...top 30 nikaona namba 25 nyimbo ya alikiba inaitwa MBIO sijui ndio hiyo au la. Jamaa hachangamki kushindana na mwenzie kbs
Nafikiri Sasa hiv anapata sapoti ndogo Sana ya mashabiki ndo maana ngoma zake hazifanyi vizur + nyota pia inachangiaJana nikiwa natizama EATV si ndo ikaja top ten ya ngoma
Kufumba na kufumbua nikaona ngoma ya alikiba ikiwa namba tatu
Nilibaki mdomo wazi kushangaa kwamba hadi ngoma iko top ten lakin mimi hata sijui
Duh noma kweli
Jamaa anatoa ngoma lakin mashabiki hata hatujui
Dah siyo malaya mkuu ni mayala
MbioTofauti yake nini hapo?