she is always on top,nyie ongeeeeni weeeeee mpaka bhas,u cant change the fact
Namuheshimu JIDE kwa kuepuka kuwa na maskendo ya mjini lakini pia kwa kuwa na fikra za kiujasiriamali katika kuongeza kipato chake ( kuwa na bendi na mgahawa wa nyumbani lounge) .Fikra hizi za ujasiriamali ndizo zinamjengea chuki na akina ruge ambao hawataki wasanii wapate mafanikio ili waendelee kuwa chini ya himaya yao kandamizi. Hongera JIDE watanzania watafutaji wanakuunga mkono.
PhD heshima mbele mkuu...
Then i hope bado huja sign out na kupotelea usingizini.
Let me ask u...
Tangu mwaka jana zilipokwisha tolewa tuzo za Kili mpaka mwaka huu je Lady JD katoa nyimbo gani?
Na je nyimbo alioitoa ina zaidi ya Miezi minne?
Je msanii bora wa kike tutampata kwa style hiyo?
Au tutampata kwa wingi wa kura ambao hatujui ni safi au chafu?
Rejea kituko cha tuzo hizo pale walipompa Mpoki Tuzo kwa nyimbo ambayo alicopy kwa contender wake ktk hizohizo tuzo...
Hebu tuhoji basi je Jide kafanya nini cha maana kwa msimu mzima wa Tuzo kilichopelekea japo ajumuishwe kwenye category hiyo?
NB: swali kwa PhD.
Wengine nyoosheni vidole ntawauliza mmoja mmoja.
we ni kati ya wale walegeza suruali?
hv huwa mnalegeza kwa lipi?
tayali kwa kutenda au kutendwa?
huna jipya kaa mkao wa kushughulikiwa, jide juu, juu, juu zaidi!
PhD am waiting for you Hommie...
it seems ur verry Gentle and we can argue
Adamu
mchomvu,j3
utakuwepo
kwenye
xxl?

sijalala mkuu nilipo hapa ni mchana. Naongozwa na fikra kumuona JIDE kama mwanamziki wa kike aliyesimama imara dhidi ya mfumo wa kinyonyaji baada ya kuijitambua, sihitaji kujua katoa nyimbo ngapi ili kumuunga mkono maana hata hao waliotoa nyimbo kwangu sioni tija, nachokiheshimu ni heshima na jitihada za mtu binafsi katika kusimamia mambo yake. Jioni njema ndugu yangu.
Kaka na mimi naomba nikuulize swali kabla ya PHD kujibu swali lako kwa mtazamo wako we unadhani nani anastahiri kupata tunzo hiyo tofati na Jide