Lady Mwali
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 147
- 333
Nimejaribu kuhakiki bidhaa kwa kutumia ap ya Hakiki Stamp ya TRA nimekuta kila bidhaa feki.
Unachotakiwa kufanya scan bar code au QR code iliyopo kwenye bidhaa.Ap inawasha camera ya simu, hakikisha QR code au bar code inakuwa kwenye target ya camera, bila
ya kutingishika, kama huwezi
ingiza digit 12 manually.
Bidhaa ikiwa original itakupa details,ikiwa fek utaona neno
"Verification failed" hivyo toa
ripoti TRA.Kila nikiverify bidhaa zinaonekana feki.
Wafanyabiashara wamezidi kutuuzia bidhaa feki.Adhabu ya kuuza bidhaa fek ni faini ya
sh.milioni 5 au kifungo miaka
mitatu.
Kwa sasa AP hiyo inafanya kazi katika bidhaa za maji na pombe.
Wananchi tujali afya zetu kwa kuhakiki bidhaa kulinda afya zetu, vilevile tuoneshe ushirikiano kwa kutoa taarifa TRA tukigundua bidhaa feki.