Duh! Kirusi cha Corona kimetua Ethiopia pia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jameni huku bado tunawaza jinsi gani tutaishi huu mji wa Nairobi, naona Ethiopia na wamethibitisha kwamba kimetua kwao.....

Ethiopia has confirmed its first case of the new coronavirus, the country’s public health institute told Reuters on Friday.
Takele Uma Banti, the mayor of the capital Addis Ababa, tweeted that a Japanese citizen was the person affected.

“We should avoid meetings and hand contacts,” the mayor wrote on Twitter.

Ethiopia confirms its first case of coronavirus - Citizentv.co.ke
 
Mkuu wa World Health Organisation ni Mhabeshi. Sijui atasema nini leo kuhusu Corona kukoroma nyumbani kwake Ethiopia. Huwa namtazama Youtube muda wa saa kumi na mbili unusu jioni.
 
Mkuu wa World Health Organisation ni Mhabeshi. Sijui atasema nini leo kuhusu Corona kukoroma nyumbani kwake Ethiopia. Huwa namtazama Youtube muda wa saa kumi na mbili unusu jioni.
Hao wa Ethiopia wamejitakia wenyewe, angalau Kenya ni bahati mbaya, ila Ethiopia wamejiachia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu MK254 ilikuwa suala la muda tu kabla ya njaa zetu za kuthamini pesa tunaruhusu ndege au watu toka nchi zilizo athiriwa kuingia nchini mwetu kabla hazijatuumbua na hili gonjwa.

Mungu wetu waafrika azidi kutulinda, nina ndugu wa damu majuzi tu kaenda kikazi hizo nchi za ulaya kwenye hili dude.
Nilimtia moyo nenda tu ndugu ajali kazini hata ukiwa hapa bongo unaweza kuugua uka-dead vilevile.

Natumaini atarudi salama kuja kulea familia yake.
 
Kwanza Ethiopia airline iliweka pesa mbele ikaamua kuendelea na Safari ya China
Lakini dude hili limeleta maambukizi mengi huku Afrika kutokea Ulaya. Sio ajabu huyo ndugu yetu Mkenya kalitoa dude huko ulaya alikopitia toka Amerika.

Huyo wa Ethiopia ni mjapani sio mchina.
 

Bro labda ufunge kabisa hakuna kuingia wala kutoka, la sivyo huna jinsi maana Corona kabla kuja kuonekana kwenye vipimo lazima iwe imekolea, na ndio maana unaona imetua hata Marekani kwa wenye vifaa vyote kukagua.
 
COVID-19 PANDEMIC
#Africa #CoronaOutbreak Latest UPDATE

🇪🇬Egypt-67
🇩🇿Algeria-25
🇿🇦South Africa-24
🇸🇳Senegal-10
🇹🇳Tunisia-7
🇲🇦Morocco-6
🇳🇬Nigeria-2
🇨🇲Cameroon-2
🇧🇫Burkina Faso-2
🇨🇩DRC-2
🇬🇭Ghana-2
🇹🇬Togo-1
🇨🇮Ivory Coast-1
🇬🇦Gabon-1
🇰🇪Kenya-1
🇪🇹Ethiopia-1
🇬🇳Guinea 1
 

Duh Egypt bana, halafu wako kimyaa ila kimewagonga balaa.
 
Sudan pia Covid-19 imetua, nikama nchi za ukanda huu zimeambiana zitangaze ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…