Duh! Kumbe hata wakubwa wamo ee!!!!!!

But hii ni photoshop mkuu tusijefungwa bure! Kwenye original picture ni kweli jaluo aliangalia kifaa lakini hakupeleka mkono, huo mkono umepelekwa makusudi ili mtu asema anachotaka kusema.
 
Kitu photoshop...original picture ninayo,nkiipata nitaileta janvini..
 
naoana sasa watu wa photoshop munataka kutuharibia raha zetu kwani ze utmmmm ilikuwa hivi hivi ikafungiwa acheni hizo bwana kama hakuna cha kufanya lizeni milio yote ktk simu zenu
Conquest-mtambo wa dawa za kienyeji na babu yangu mganga
 
Japo hiyo picha imeshindwa ku-desplay kwangu but kuna hii hapa chini, ndiyo mjue kuwa picha zinadanganya. Click hayo maandishi kwenye picture "Video Clears Up Obama Photo" ili kuwa directed kwenye youtube kama inakataa kucheza

 
Last edited by a moderator:
Cheki hapa. jamaa alikua anakula good time kwenye mechi halafu mitchel alikua anmfwatilia. Kumbe sio wake zetu tu wakali kali.
 
Wakubwa hii HAPANA!
Naomba huu mjadala uishie hapa. Kwa mimi kuufunga rasmi
Ila point kubwa ilikuwa kuweka angalizo juu ya PHOTOSHOPs ambazo mara nyingi hupoteza uhalisia wa kitu husika.
Thank you JOHN MABOKO for noting that.
Mara nyingi PHOTOSHOPs zinapotosha uhalisia wa kitu husika hivyo kupoteza lengo halisi na kuweka lile lisilokusudiwa. Care must be observed all the time in every thing before attempting it.
Siyo kila picha inayokuwa displayed hapa inakuwa ndiyo hivyo ilivyo, watch out guyz
Note: Original Pcha ilikuwa captured wakati Mjaluo alipotupa jicho kiaina juu ya huo uumbaji, wadau wakaedit na kuweka motion play, na
Uhalisia ni kwamba palikuwa na umbali kiasi fulani kati ya huyo kiumbe na Mjaluo. Sitaki amini kwamba Science runs us to hell














 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…