Helikopta iliyombeba Rais wa Russia, Vladimir Putin, ilikumbwa na mashambulizi makali ya ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine akiwa katika ziara mkoani Kursk mapema wiki hii, kwa mujibu wa kauli ya kamanda wa kikosi cha ulinzi wa anga, Yury Dashkin.
Putin alitembelea Mkoa wa Kursk Jumanne, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo tangu eneo hilo kukombolewa kikamilifu kutoka mikononi mwa vikosi vya Ukraine mwezi Aprili. Akiwa katika ziara hiyo, Rais alikutana na Gavana Aleksandr Khinshtein, pamoja na wakuu wa halmashauri za mikoa na wajitolea wanaosaidia watu walioathirika na uvamizi wa
Putin’s helicopter was caught in Ukrainian drone swarm – commander