Kuna kitu hujakinote mdadaa, siku hizi ni mara chache sana watu wanatongozana.............Uko single?
nani alimtongoza mwenzake kati yako na yeye?
kama ni wewe hukuona tofauti ya umri?
Pole sana dude,muoe tu maana kakupenda kitu ambacho
utakipata kwa wachache sana katika dunia ya sasa
Kuna kitu hujakinote mdadaa, siku hizi ni mara chache sana watu wanatongozana.............
pili, sidhani kama ananipenda ila yuko desperate na ndoa,
Niko single but not looking for anything but looking for something
She is not something that i am looking
Umejuaje anataka ndoa? Pengine anataka mtoto tu.....vipi utamkubali?..., ila naogopa kum dissapoint sa hapa sijui nimsaidieje wadau................?
Yule anayepitia profile lako vipi?
Yule anayepitia profile lako vipi?
mkwe ukidundwa usiniite! nawategemea jioni. usisahau hiyo gari mliyoninunulia ije na full tank ya kianzio
Atakuwa huyo huyo.
OTIS.
hivi hata wewe hujatambulishwa? Musimor tutambulishe huyo wifi.
Kama upo firm namna hii...then ni rahisi kweli kumwambia.....nashangaa unasema unaogopa kum disappoint...au umesha 'onja' kidogo?Sitaki mtoto wangu awe wa nje ya ndoa, nataka kuzaa na mwanamke ninayempenda ili nipende kila kilicho chake
Uko single?
nani alimtongoza mwenzake kati yako na yeye?
kama ni wewe hukuona tofauti ya umri?
Pole sana dude,muoe tu maana kakupenda kitu ambacho
utakipata kwa wachache sana katika dunia ya sasa